Heshima zenu wakuu! Kama kichwa Cha Uzi kinavyojieleza.
Mimi ni Kijana wa miaka 23 Nina shahada ya kwanza (Bachelors degree) ya usimamizi ya Manunuzi na Ugavi niliyohitimu mwaka 2022.Tokea nimehitimu sijabahatika Bado kupata kazi,hivyo basi ninaandika Uzi huu kuomba kama Kuna mtu yeyote humu...