omicron

Omicron (; uppercase Ο, lowercase ο, literally 'small o': όμικρον from ὂ μικρόν ò mikrón, micron meaning 'small' in contrast to omega) is the 15th letter of the Greek alphabet. In the system of Greek numerals it has a value of 70. This letter is derived from the Phoenician letter ayin: . In classical Greek, omicron represented the sound [o] in contrast to omega [ɔː] and ου [oː]. In modern Greek, omicron represents the mid back rounded vowel /o̞/ , the same sound as omega. Letters that arose from omicron include Roman O and Cyrillic O.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    #COVID19 Serikali: Hatujabaini Kirusi cha Omicron mpaka sasa

    Serikali imesema Maabara ya Taifa imekuwa ikichunguza mabadiliko ya kirusi ili kuangalia uwepo wa anuai zinazotokana na mabadiliko ya COVID-19, ikiwemo Omicron na mpaka sasa haijabaini aina hiyo mpya ya Kirusi Imesema haijajulikana kama abiria kutoka Tanzania aliyeripotiwa kubainika na Kirusi...
  2. Analogia Malenga

    #COVID19 India: Delhi yaripoti maambukizi ya Omicron kwa mtu aliyetokea Tanzania

    Mtu mmoja aliyerejea Delhi kutokea Tanzania amegundulika kuwa na kirusi kipya cha COVID19 cha Omicron Waziri wa Afya wa Delhi, Satyendar Jain amesema mtu huyo amlazwa katika hospitali ya LNJP ambapo hadi sasa kuna jumla ya watu 17 waliokutwa na virusi hivyo ======= The national capital...
  3. Analogia Malenga

    #COVID19 Korea Kusini: Hata waliopata chanjo kamili watakiwa kukaa karantini

    Korea Kusini imerekodi maambukizi 5,266 ya COVID-19 kwa Desemba 1, maambukizi ambayo ni makubwa, ikiwa ni wiki mbili baada ya kuripotiwa kwa kirusi cha Omicron. Wasafiri wote watatakiwa kukaa karantini kwa siku 10 hata wale waliopata chanjo kamili kwa kuwa pia huathiriwa na aina mpya ya kirusi...
  4. babu M

    #COVID19 First U.S. case of omicron strain of coronavirus has been confirmed, Fauci says

    The U.S. has its first confirmed case of the omicron variant of the coronavirus causing COVID-19, said Dr. Anthony Fauci, President Joe Biden's top medical adviser, during a briefing on Wednesday for reporters. "The California and San Francisco departments of public health and the CDC have...
  5. Analogia Malenga

    #COVID19 WHO: Kirusi cha Omicron ni hatari, chanjo ni muhimu

    Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limeonya kuwa aina mpya ya kirusi cha corona Omicron c ina hatari kubwa ya maambukizo kuongezeka kote ulimwenguni. Aina hiyo inaweza kusababisha athari mbaya katika baadhi ya maeneo ya dunia , WHO ilisema Jumatatu. Mkuu wa shirika hilo, Dk Tedros Adhanom...
  6. L

    #COVID19 Kuibuka kwa aina mpya za virusi vya COVID-19 kungeweza kuepukwa kama chanjo ingetolewa kwa usawa

    Wiki hii dunia imejikuta tena ikitamalaki baada ya kusikia aina mpya ya COVID-19 imeenea karibu katika mabara yote duniani. Mamlaka zote za afya duniani zimekuwa kwenye tahadhari kuhusu virusi vilivyopewa jina la Omicron, baada ya kutangazwa kuwa vina uwezo mkubwa wa kuenea kuliko virusi...
Back
Top Bottom