Habari za wakati huu,
Kwanza, nianze kwa kuweka mtazamo wangu wazi kwamba kazi lazima iendelee na maisha lazima yaendelee. Hata hivyo, pamoja na msimamo huo, nieleze wazi kusikitishwa kwangu na matukio yaliyojiri kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu hadi kufikia wakati huu. Yaliyojiri na...