Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman (OMO) atoa ahadi zake 10 kuhusu mambo atakayoyatekeleza iwapo atashinda Urais lipo la mshahara kima cha chini kuwa Milioni moja
2. Kupunguza kodi kwenye mafuta ili bei ishuke.
3. Kuondosha utitiri wa kodi na tozo.
4. Kurudisha kwa wananchi ardhi waliyoporwa.
5. Uwekezaji kwenye ardhi wa kumnufaisha mwananchi.
6. Ajira kipaumbele ni kwa Wazanzibar
7. Kufuta mikataba yote ya kifisadi
8. Kubinafsisha soko la karafuu
9. Kujenga uwanja wa kimataifa Pemba
10. kujenga bandari za kimataifa Mkoani na Wete, Pemba