Muonekano mpya wa OnePlus Nord N20 5G umevuja, muonekano mpya umebadilika sana na imekuwa katika muundo wa flat-edges kama iPhone 12 na iPhone 13.
Simu hii ya Mid-range (simu ya daraja la Kati/Wastani) itakuwa na muonekano mpya katika sehemu ya kamera, itakuwa na kamera tatu (na sio nne kama...