napenda kujifunza
Member
- Sep 30, 2024
- 66
- 64
Hii ndio komesho la samsung na iphone.
Uwezo wa battery ni 6000.
Kamera ni super quality ukubwa
Huyu 0neplus 13 front camera ni 32MP , wakati iphone 13 na samsung s25 ina 12MP,yaani amempiku iphone/samsung kwa camera karibu mara tatu yake.
Wakati kamera ya nyuma huyu jamaa oneplus 13 ana MP 50,iphone 13 anabaki kwenye 13Mp.
Jamaa battery yake ni 6000 mAh wakati iohone 13 ana 3200mAh,yaani anampiku mara 2 yake,yani hii 0neplus kama ni mtu wa magame na application zingine heavy,insta,tiktok,youtube basi inakufaa sana.
maana kwa mtu mwenye fujo ya kutumia simu ni jambo la kawaida akaichaji mara moja kila masaa 24,sasa hii ina Silcon carbon battery kiboko ya kutunza chaji.
Chaji yake ni amazing sana ina watts 100,yaani from 0% - 100% unajaza ndani ya dk 35 mpaka 40,so unaweza kuichaji muda wa kula alafu ukishamaliza na simu imejaa tayari,inasave time sana.
Kioo chake unaweza kutumia hata kwenye jua kali na ukaona vizuri tu bila kufinya macho kwa sababu ina teknolojia ya skrini ya BOE X2 ambayo ni display ya mateA++.
INAZUIA MAJI.
hii ina IP69 resistance(ingresion protection)yaani inazuia vumbi kuingia ndani ya simu na maji.
Yaani unaweza kuitumbukiza ndani ya maji yenye kukufika kiunoni kwa dakika 30 ukaja kuikumbuka baadae alafu ikaichukua na ukaendelea kutumia tu vizuri.
Sio hivyo tu hata kwenye maji yenye nyuzi joto la 80°C inaweza kusurvive ikiwa imeingia akwa bahati mbaya,yaani lile joto la maji linaloweza kuivisha samaki wa sumu basi oneplus 13 ikiingia pale inaweza kutoka salama kabisa bila shida..
ULINZI MAKINI.
ONe plus 13 huyu ana teknolojia ya FIND WHEN OFF - yaani ikiibiwa hata mtu akiizima basi unaweza kuijua iko wapi,tofauti na baadhi ya simu kama samsung s24 ultra na wadogo zake hawana hii feature.
Yaani ina chip ndogo ndani ambayo hata mtu akizima simu basi unaweza kuitafuta kupitia find my device na ukaiona,hata kama mtu ameizima bado huyu jamaa anasoma..
Ili aweze kukuibia hii simu basi inabidi aitumie mpaka iishe chaji isibaki hata 1% na hiyo chip ndiyo inaweza kuacha kufanya kazi.
Sasa kama inabidi isiwe hata na 1% basi atafaidika nini kuiibs ?
Na kama atakuwa anaitumia ili iishe chaji na hii simu inacheelewa kuisha chaji basi wakati anatumia wewe huku unaendelea kumsoma kupitia find my device.
Yani jamaa anatembea kifua mbele kama iphone tu au siyo.
NAUZA 1.6M(ina wiki 1 tu toka niinunue).
nilinunua kwa 2.05M siwezi kuuza kwa bei hiyo..
Picha zake zipo hapo chini .
Bei ni milioni moja na laki 6