ongezeko la mshahara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Naona zama za kumuomba shemeji yenu awaongezee mpunga zimepita njooni tulime nyanya

    Wafanyakazi wa umma walihongwa sana katika awamu zilizopita. Ikafika kipindi wanaomba ongezeko kwa shemeji yao na kiukweli aliwapenda na kuwasikiliza. Mfano msemo wao maarufu wa "SHEMEJI UNATUACHAJE" Zama zimebadilika sasa hizi ni zama za mikausho mikali na kila mtu apambane kivyake. Msijali...
  2. G TARIMO

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mshahara sekta ya umma limeshatangazwa sekta binafsi tuendelee kusubiri 😔

    Habari wanajukwaa, Naitwa Godfrey Tarimo, mdau wa maendeleo na mfuatiliaji wa masuala ya kijamii na kiuchumi. Kama wengi mnavyokumbuka, katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) mwaka huu, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alitangaza rasmi ongezeko la mshahara wa...
  3. Freyzem

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Serikali! Watumishi wanyang'anywa ongezeko la Mshahara!!

    Kwa kweli, hiki ni kitu ambacho hakijawahi kutokea! Mishahara ya watumishi imetoka, maajabu ni kuwa kuna waliopata annual increament mwezi uliopita(wa nane) na wengine hawakupata wakitarajia wangepata hilo ongezeko kama alivyoahidi Kiongozi wa nchi! Cha ajabu ni kwamba, kwa mishahara ya mwezi wa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ni lipi Tamko la vyama vya wafanyakazi kuhusu ongezeko la mwaka la mshahara?

    Habari zenu watumishi wenzangu, Naomba kufahamu tamko kutoka kwa vyama vya wafanyakazi kuhusu kwamba mwaka huu kuna annual increment au laa ili watu tujue hamsini zetu tunaziomba vipi, na mkataba wetu na serikali kuhusu annual increment umekaaje? Pia soma: Mishahara haijapanda hata senti moja...
Back
Top Bottom