ongezeko la tozo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Serikali ya Rais Samia yagoma kuondoa tozo za miamala ya simu

    Katika muendelezo uleule wa kudanganyadanganya wananchi serikali ya Samia imeanza kupiga chenga juu ya kupunguza tozo kubwa sana za miamala ya fedha. Baada ya kelele kubwa na kukasirishwa kwa wananchi juu ya tozo kubwa za miamala ya fedha, serikali ya Samia ilijifanya kupoza kelele hizo kwa...
  2. Matanga

    Fikra za Askofu Bagonza

    CHANJO. MBOWE. KATIBA MPYA. TOZO ZA MIAMALA. RAIS SSH Mambo haya 5 yameshikilia mustakabali wa nchi kwa sasa. Amani, haki, Maendeleo na ustawi vinatikiswa. Jiulize: 1. Kwa nini itumike nguvu na jitihada za ziada kuwaaminisha watu wakachanje wakati afya ni mali yao? 2. Kwa nini wana CCM...
  3. Zero IQ

    Namshukuru Mungu zoezi langu la kutoa pesa kwenye simu limeenda salama

    Hatimae leo nimefanikiwa kutoa pesa iliyokuwa kwenye simu yangu kwa Uchungu mkubwa. Kabla ya makato ya serikali nilikuwa na mazoea ya kuweka pesa yangu ya akiba kidogo kwenye simu na nyingine cash kwenye kibubu, siku moja kabla ya ongezeko nilitumiwa meseji kuhusu makato nilijua yatakuwa madogo...
  4. G

    Tozo zote za simu zinapaswa kuondolewa ili kukuza uchumi

    Tozo zote za simu zinapaswa kuondolewa ili kukuza uchumi Kwa mujibu wa taarifa za mtandaoni inakadiriwa kuwa watu zaidi ya bilioni 5 ulimwenguni wanatumia simu za mkononi katika shughuli mbalimbali za mawasiliano. Mbali na kuwezesha mawasiliano huduma za simu zinatajwa kama kichocheo kikubwa...
  5. Crimea

    Mliomtukana Mwigulu kuhusu tozo mna lipi la kusema?

    Namnukuu Rais Samia: "Tozo za miamala tuliweka kwa nia njema, zitaendelea ila tutarekebisha baada ya kilio chenu" NOTE: Kuna watu walikuwa wanamtukana Mwigulu kuhusu hizi tozo na kusema kuna kundi limemzunguka mama ili kumharibia. Na kama kawaida wajinga walikuwa wanapeleka hizo lawama kwa...
  6. GENTAMYCINE

    Kuyaona mawazo yetu kama 'Kelele' ni kutudharau Watanzania

    "Tulipoamua kupandisha Tozo za Miamala tulikuwa tuna lengo zuri tu ila tulipoanza kusikia Kelele za Wananchi basi Serikali tukaona kwakuwa tunawajali Wananchi wetu tuingilie kati na sasa nimeunda Kamati ili kuliangalia hili na itakuja na majibu muda si mrefu" Rais Samia. Hasira yangu na Uchungu...
  7. A

    Huenda walioanzisha tozo hawakuwa na lengo baya ila hawakufanya upembuzi yakinifu kumzingatia mwananchi

    MAKATO YA MIAMALA Kwa kipindi cha hivi karibuni suala la makato ya simu limekua gumzo nchini na kuibua sitofaham na kauli za utata kutoka kwa baadhi ya viongozi,,huenda walioanzisha tozo hizo hawakua na lengo baya ila naweza sema kwamba hawakufanya upembenuzi yakinifu pamoja na kumzingatia...
  8. B

    COVID-19 na ukubwa wa tozo zilizopitishwa Bungeni haviendani, uzalishaji umeshuka

    Unapokabiliwa na ugonjwa Kama covid 19 unawafanya wananchi wako wengi kutumia muda wao kwenye mambo yafuatayo; 1. Kuhudumia wagonjwa, Kuchukua taadhari za afya ikiwemo kuacha kufanya kazi kwa waliopo kwenye majukumu yanayohitaji kukutana na watu wengi, Kutumia muda mwingi kwenye nyumba za...
  9. Mparee2

    Bunge lijifunze kwa ongezeko la tozo za miamala ya simu

    Kwa mtazamo wangu kuna kitu muhimu Bunge linatakiwa kujifunza hapa 1. Pale wanapo ambiwa kwa maneno matamu kuwa bei itaongezwa kidogo tu, waombe kabisa hiyo draft ya ongezeko ili wajiridhishe kuwa wanachoambiwa ndio kitakachowafikia wananchi; tofauti na hapo inakuwa haileti picha nzuri kwani...
  10. MC RAS PAROKO

    Fanya hivi kunufaika na ongezeko la tozo katika miamala ya simu (M-Pesa, Tigo Pesa, Halo Pesa)

    Ni matumaini yangu mu buheri wa afya, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. kwa kuwa kam tujuavyo kumekua na kilio kikubwa kutoka kila kona nchini kutokana na ongezeko la gharama za kutuma na kutoa pesa kupitia simu zetu (Mobile Money Transactions). Nikiwa ni muhanga...
  11. Sanaguofficial

    Athari za Ongezeko la Tozo mpya za Miamala ya Simu kwa Watanzania

    Siku chache baada ya tozo za miamala ya simu kuongezeka kutoka makato ya awali wakati wa kutuma pesa au kutoa pesa mpaka Makato ya sasa amambayo yapo na yanatumika Nini athari zake kwa watanzania 1. KUDORORA KWA BIASHARA ZA MTANDAONI Biashara za mtandaoni zitapoteza wateja na kudorola hususani...
  12. Livingson1

    SoC01 Serikali itumie wafungwa kama chanzo cha mapato. Iondoe Kodi inayokata kwenye Miamala ya Simu

    Wafungwa ni watu wanaotumikia vifungo mbali mbali katika magereza zilizopo nchini Tanzania kote. Wafungwa hawa wana ujuzi tofauti tofauti kwa kusomea ama kwa kujifunza mtaani, wengine ni engineers, nurses, wahasibu, doctors, mafundi kama fundi bomba, fundi nyumba, fundi kupaua, na wengine wana...
  13. Analogia Malenga

    Mwigulu: Wananchi wanaenda kupata fedha nyingi, watazoea makato

    Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema gharama za miamala hazina maana kwa kuwa watakuwa wanapata fedha zaidi katika kipindi hichi...
  14. I

    #COVID19 Wataalamu nisaidieni: Hivi ni sahihi kuanzisha kodi mpya katikati ya janga la Corona?

    Kwanza naomba ku-declare interest. hii serikali siipendi. Baada ya hapo niende kwenye mada moja kwa moja. Baada ya kifo cha kiongozi wetu aliekuwa anazipinga waziwazi conspiracy theories karibu zote zinazohusu corona. Mrithi wake kaja na wazo tofauti. yeye anazikubali pamoja na mambo yake...
  15. Idugunde

    Tozo za Miamala ya Simu: Hayati Magufuli angekuwepo asingekubali huu uonevu kwa wanyonge

    Yaani serikali ndio imekosa vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kukamua wanyonge wataotumiwa na pesa na jamaa zao ili kujikimu? Hivi hakuna maeneo ya kupata hizo Bil 45 mnazodai ni kwa ajili kukamilisha maboma 900 ya shule? Wananchi wanadai kuwa kama hayati JPM angekuwepo asingekubali...
  16. Puma yetu

    Tozo Mpya za Miamala: Kuna watu wanataka CCM ishindwe 2025 makusudi. Hatutakubali!

    Haiwezekani wewe Speaker bajeti mbovu inaletwa bungeni inayolenga kuumiza wananchi imekaa unapiga makofi tena unatishia eti wabunge wakigomea bajeti bunge litavunja. Hamkuwa na nia wala dhamira njema ninyi, mliendekezwa na Mwendazake sasa mnataka makusudi kumuangusha mama 2025, hatutakubali...
  17. reg edit

    Tozo za Miamala: Ushauri kwa Rais Samia Suluhu

    Mh. Rais, Inaonekana hili suala la tozo za serikali kwenye miamala ya simu halijapokelewa vizuri na watanzania walio wengi, hivyo basi mimi nikushauri ujitokeze mbele ya watanzania kwa unyenyekevu kabisa uwaombe watanzania wakubali hizo tozo na uwahakikishie kuwa hizo pesa zitatumika...
  18. Doctor Mama Amon

    Tozo mpya miamaka ya simu: Serikali wekeni bayana mipango ya maendeleo, wekeni viwango vya makato vinavyotabirika

    Rais Samia Suluhu Hassan Asubuhi ya leo, magazeti mengi yalikuwa na vichwa vya habari vinavyoonyesha hofu ya umma inayohusiana na tozo katika miamala ya simu ambazo zilianza jana. Tozo hizo kupitia miamala ya kidijitali sio mpya nchini Tanzania. Shughuli za elektroniki zinazohusiana na ununuzi...
  19. S

    Tozo za miamala zitakuwa zimegusa stahiki za Wabunge? Mwigulu mbona hilo hujalizungumzia!

    Thadei Ole Mushi TUSIFUNGE MJADALA WA MSHAHARA WA MBUNGE. Na Thadei Ole Mushi. Kuna Msaidizi mmoja wa Mbunge Kanitumia document hizi ili kufanya Clarification zaidi kwa jamii kuhusu Mishahara ya Mbunge. Twende sawa hapa. 1. Mbunge hulipwa mshahara kwenye scale ya LSS (P) 2 ambayo mshahara wake...
  20. S

    Tozo za Miamala: Tunaelekea kuzungumza lugha moja

    Ongezeko la tozo za Serikali kwenye miamala ya fedha zimekuwa gumzo kila kona na kuanza kuondoa matumaini kwa Watanzania wa kipato cha chini ambao wamekuwa wakiitumia mitandao ya simu kama vibubu vya kutunza fedha kidogo kidogo na kutuma na kutumiwa fedha hata kwa watoto walioko mashuleni...
Back
Top Bottom