online data services

  1. OLS

    Kodi kwa Online Data services inalenga kampuni kubwa kama Google?

    Kimsingi nilikuwa nasubiri tafsiri ya Online Data services, na sasa bill ya Finance Act 2024 imetoa tafsiri ya kitu hicho ambacho bajeti ya 2024/25 ilipendekeza kumegwa kodi Kwa tafsiri iliyotolewa ni kama platforms zote zinazochukua data za wanaotembelea platforms hizo watalipa kodi hiyo...
Back
Top Bottom