online

In computer technology and telecommunications, online indicates a state of connectivity, and offline indicates a disconnected state. In modern terminology this usually refers to an Internet connection, but (especially when expressed "on line" or "on the line") could refer to any piece of equipment or functional unit that is connected to a larger system. Being online means that the equipment or subsystem is connected, or that it is ready for use."Online" has come to describe activities performed on and data available on the Internet, for example: "online identity", "online predator", "online gambling", "online shopping", "online banking", and "online learning". Similar meaning is also given by the prefixes "cyber" and "e", as in the words "cyberspace", "cybercrime", "email", and "ecommerce". In contrast, "offline" can refer to either computing activities performed while disconnected from the Internet, or alternatives to Internet activities (such as shopping in brick-and-mortar stores). The term "offline" is sometimes used interchangeably with the acronym "IRL", meaning "in real life".

View More On Wikipedia.org
  1. Naomba kujua kuhusu online interview za utumishi

    Habari za siku wakuu, Naomba aliewahi kufanya online interview za utumishi anipe mwongozo namna ambavyo inakuwa kwenye upande wa format, je maswali ni ya kuchagua? Na yanakuwa mangapi?
  2. Utumishi online Interview kwa kada ya umeme

    habari za mchana wanajamii naomba msaada kwa mtu ambae ameshawahi kufanya interview utumishi, interview ambayo ilifanyika online naomba kama itampendeza tuwasiliane pm apate kunielekeza mambo yanakwendaje kwa interview za namna hiyo Pia kwa mwenye uelewa na interview za online usisite kuchangia...
  3. Advantages za Aviator Online Gaming over Forex Trading na Betting

    Forex Trading, Aviator Online Gaming (Kindege) na Betting ni vitu tofauti lakini concept na outcomes zake ni kutengeneza au kupoteza pesa. Ni psychological game ambayo inafanya kazi. Kwa kutumia Formula ya Fibonacci Sequence ( i.e 1,1,2,3,5,8,13,21....) ambayo inatumika kwenye Forex Trading...
  4. K

    Kuna mwana jf wa kike aliye hapa mbuzi online ya kimara suka aje nimpige pombe?

    Kama kuna mwana jf wa kike aliye hapa mbuzi online ya kimara suka aje tupige vyombo.
  5. Kwa nini uazishe kituo cha online radio

    kwa sasa online radio inasikizwa zaidi kuliko vituo vya fm,hii inatoa fursa kubwa hasa kwa vijana kufikia maono yao ya kumiliki media. kwaanza kabsa unafichua mitazamo ambayo radio kubwa azifuatilii au awatoi kipaumbele mfano nyimbo, makala na habari kwa undani pili ni kutangaza utamaduni wako...
  6. Tips muhimu kwa online dating

    Haya ni baadhi ya mambo muhimu kuzingatia kwa wadau wa online dating au utafuta wa marafiki na wachumba mitandaoni. - Hakikisha unapata picha kamili ya huyo baby unayewasiliana nae huko mtandaoni, picha ile ya utosi hadi unyayo. Ukiona huyo baby wako wa online hataki umuone yukoje, hapo tayari...
  7. M

    Wakuu cheti mbadala cha kidato cha nne unaweza pata baada ya muda gani kwa maombi ya online

    Wakuu naomba mnisaidie nikifanya maombi ya cheti cha kidato cha 4 kilichoungua naweza kukipata kwa muda gani? Najua humu wazoefu wapo na je kama, Nina haraka nacho sana hicho cheti nofanyaje Ili kukipata Yani at least week 3 Naweza subiria isizidi hapo, embu nipeni ushauri wenu wakuu Uzi tayari
  8. M

    Elimu Mtandaoni - online learning Tanzania na Mdee Academy

    Habarini wana jamii Matumizi ya mtandao wa intaneti hivi sasa ni makubwa sana hapa nchini, si kwa watu wazima tu bali hata kwa wanafunzi. Hata hivyo wanafunzi wengi kwa maoni yangu huwa wanatumia mitandao sana sana kwa ajili ya burudani, ni mara chache utamkuta mwanafunzi akitumia mitandao kwa...
  9. P

    Ushuru wa magari na online TRA calculator

    Mimi binafsi napotaka kuagiza gari, nachukua details za ile gari halafu nakuja kukadiria bei ya ushuru kupitia Calculator ya TRA, tuseme napata Mil 12,355,000 kama ushuru. Unaagiza gari baada ya wiki tatu ushuru unaongozeka kidogo hadi mil 13+ kawaida kabisa kutoka na value ya USD KUPANDA NA...
  10. UTAJIRI WA KUTENGENEZA CONTENT KWA BIASHARA ZA ONLINE

    Bila content, hakuna engagement na bila engagement, hakuna mauzo! Kwa Nini Content ni Muhimu? Inajenga Uaminifu na Brand Awareness – Wateja wanapokuona mara kwa mara na kupata elimu kuhusu bidhaa zako, wanajenga uaminifu kwa biashara yako. Inaongeza Engagement – Watu wanapenda maudhui ya...
  11. Msaada wa website nzuri ya kupaste ulr kudowload movies for free zinazokua kwenye website za kuuwatch online tu.

    Wakuu habari. Naomba mnisaidie hii kitu, kuna movies flani zipo kwenye website flani flani ambazo huwezi kudownload, yani ni kuwatch online tu. Sasa ningependa kujua naweza kupata website ambayo taweza kupaste url tu ya movie husika then nidownload ? please help me njia yoyote nayoweza kutumia...
  12. Miliki Sasa App/Site ya Kuuzia Digital Files Online - File Moja Uza kwa Wengi

    Want to own an app/site for Selling eBooks, PDFs, Magazines, Exams, Photos, Drawings, Music, Software, and More to thousands of customers online? We offer a ready-to-use web system that you can fully own! πŸ“² +255 657 685 268 πŸ”₯ Powerful Features Included: βœ” Instant Payments & Downloads –...
  13. Online Casinos na Betting

    Sekta ya online betting & casinos ni kubwa sana na inazalisha mabilioni ya pesa kila mwaka. Kuna wale wanaocheza na kushinda pesa, lakini fursa kubwa iko kwa wale wanaomiliki au kupromoti kasinon za mtandaoni. Fursa: Unaweza kutengeneza pesa kwa kufanya affiliate marketing au kuwa casino...
  14. Jinsi nilivyopata ajira baada ya kusoma online course kwa saa sita tu

    Wakuu this is my story. Jamii tunayoishi bado haijafunguka na kuifungua akili mpaka mwisho wake. Kuna watu mpaka leo hii wanazichukulia powah course za online. Mimi ni graduate wa shahada. Nakumbuka mwanzo nilitafuta Kazi Sana ila sikufanikiwa kupata iwe serikalini au private. Baada ya hapo...
  15. D

    Natafuta sehemu yenye free WiFi Dar es Salaam, nayoweza kufanya online meeting

    Natafuta space ambayo kuna utulivu na kuna unlimited internet Dar es Salaam. Iwe coworkspace ya kulipia au naweza kukaa kama mteja wa vinywaji lakini nitaenda na laptop yangu kwa ajili ya kufanya online meeting. Naomba suggestions.
  16. Bungeni liko Live, Online TVs Viewers hawazii 100 Kwa Kila TV , TUNDU LISSU Yuko Live, Online TVs Viewers ni zaidi ya 2k Kwa Kila TV

    Hata kama mtafumba macho na kuweka pamba masikioni , Ukweli utabaki palepale .
  17. K

    Je Wasira anajua online TV ni nini?πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ

    Hebu kamuulizeni Mzee Wasira tofauti ya TV na online TV tuone kama anajua. Tanzania inabadilika kwa haraka na wazee wengi hawajui
  18. Walifungiwa app za mikopo walichokifanya ni kubadilisha majina ya hizo app na bado wanaendelea kufanya utapeli

    Habari wana JF. Kuna suala linaloendelea juu ya app za kukoposhe ONLINE. Hii mikopo imekaa kiunyonyaji sana. Mtu anakopa pesa online anapewa lakini mwisho wa siku usumbufu unakuja kwa watu ambao hawahusiki na huo mkopo. Nimekuwa nikipokea message kutoka kwa hawa jamaa wakidai nimewekwa kama...
  19. Wabongo wanaofanya biashara online wengi wao wanafanya kosa hili

    Habari zenu wakuu πŸ‘‹πŸ½ πŸ‘‹πŸ½ 1 kwa 1 kwenye mada yangu kama vile kichwa kinavyosema. Najua una HAMU ya kujua wabongo wengi hufanya kosa gani ktk biashara huko ONLINE. Binafsi, nmepita katika mitandao mingi ikiwemo x (Instagram) na Facebook. Ktk mitandao hiyo wabongo wengo wamekuwa wakifanya...
  20. Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kuuza Nguo au Kufanya Biashara ya Nguo

    Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo hazihitaji mtaji mkubwa sana. 1. Chagua Aina ya Nguo Unazotaka Kuuza Kabla ya kuanza, lazima uamue...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…