Nawauliza TRA, ile huduma yenu ya kusajili TIN number online bado ipo?. Siku ya tatu leo nimesajili TIN online lakini bado naambiwa ombi linashughulikiwa.
Kipindi kile mmeanzisha hii huduma ilikuwa ndani ya masaa kadhaa unapata TIN number yako.
Kwenye tovuti yenu kuna number ya whatsapp...