operesheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ritz

    HAMAS: Tumeharibu kabisa kwa kiasi magari 136 ya jeshi la adui na kuwazuia kuendelea na operesheni

    Wanaukumbi. ----- 136 enemy military vehicles were destroyed by the resistance Abu Obeidah, the spokesman of the Qassam battalions: We have completely and partially destroyed 136 enemy military vehicles and stopped them from continuing the operation. Our Mujahideen destroy vehicles and...
  2. MK254

    Mbona wengi huwa hawakujifunza kwa ile operesheni ya Israel, almaarufu kama Wrath of God

    Waisraeli wanaamini ukiua mmoja wao, hata ujifiche wapi kwa namna moja au nyingine watakukuta tu hata kama itachukua miaka hamsini, watakuwinda kwenye pembe zote za dunia. Kwa mfano ma-NAZI waliohusika kwenye maamuzi ya kuua Wayahudi, pindi baada ya Hitler kupigwa halafu Ujerumani kuangushwa...
  3. B

    Operesheni Kimbunga yasababisha serikali za Tanzania na Uganda, kushitakiwa mahakamani

    10 October 2023 Kampala, Uganda OPERESHENI KIMBUNGA YA TANZANIA YAFIKISHWA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI Operesheni Kimbunga yasababisha serikali za Tanzania na Uganda, kushitakiwa mahakamani. Mwesigwa Rukutana & Co. Advocates pamoja na OSH Advocates mawakili wa walalamikaji 1240...
  4. L

    Mchango wa China kwenye operesheni za ulinzi wa amani barani Afrika utaendelea kuwa muhimu

    Katika miaka ya hivi karibuni hali ya usalama katika baadhi ya maeneo ya Afrika imekuwa na utatanishi, na utulivu uliokuwepo kwa miongo miwili au mitatu iliyopita, sasa unaonekana kuwa mashakani. Iwe ni mgogoro unaondelea nchini Sudan pamoja na ule wa jirani yake Sudan Kusini, au wimbi jipya la...
  5. MSAGA SUMU

    Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

    Niko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi. Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao. Mchakato wa kuwapata hao...
  6. Mwl.RCT

    Live: Operesheni +255 - Katiba Mpya na Kuokoa Bandari Zetu huko Didia, Jimbo la Msalala

    https://youtu.be/X9GIuklmkK0 =
  7. S

    Operesheni Okoa Bandari ya CHADEMA kutua jimbo la Luhaga Mpina

    Operesheni ya Okoa Bandari zetu sasa ni zamu ya wakazi wa Mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mara ambapo itawafikia wananchi wa Jimbo la Kisesa linaloongozwa bungeni na Luhaga Mpina. Mbowe na Tundu Lissu watafika Jimbo la Kisesa kuwaeleza wananchi kuhusu suala la Mkataba wa Bandari
  8. U

    Operesheni +255 CHADEMA & Rejesha bandari zetu: Kesho tarehe 2/8/2023 Tundu Lissu ndani ya Chato, Geita...

    Leo mzee wa kuwachapa za uso na za kichwa tu, Tundu Lissu - Makamu Mwenyekiti CHADEMA (Taifa) leo tumefungia siku katika mji mdogo wa Mbogwe. Kesho J'tano tarehe 2/8/2023 operesheni inaingia Wilaya Chato mkoani Geita na Tundu Lissu atahutubia mkutano mkubwa katika mji wa Chato na ratiba...
  9. MK254

    Operesheni imeanza. Ukraine wasukuma Warusi nyuma kilomita sita

    Muda umefika wa vijana wa Ukraine kuchukua kilicho chao, walichoachiwa na mababu zao, mito yao, milima yao, mashamba yao, ni mwendo wa mbele kwa mbele, nitawahabarisha humu hadi basi furaha hadi nahisi kuumwa, nakumbuka ilikua raha hivi wakati ule msafara wa kwenda Kyiv ulipigwa na wabeba...
  10. Dalton elijah

    Malisa Gj: Naunga mkono "operesheni" ya kuwakamata mashoga inayoendelea nchini

    Naunga mkono "operesheni" ya kuwakamata mashoga inayoendelea nchini. Hata hivyo nashauri Polisi wasiishie kwa mashoga tu bali wakamate na mabasha pia. Shoga akikamatwa ataje "wanaomshughulikia" ili nao wafunguliwe mashtaka. Kukamata mashoga bila mabasha hakuondoi tatizo. Kuna "scenario" za...
  11. F

    Operesheni elimisha na amsha CHADEMA Tanzania!

    CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania. Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba ruzuku zaidi ya milioni za Tanzania 800 wanaweza kuanza operations zisizo na ukomo Nchi nzima! Mimi...
  12. F

    Operesheni ELIMISHA na AMSHA CHADEMA Tanzania!

    CHADEMA ni Chama ambacho kimejinasibu kwa kinachoita operesheni (operations), zingine zisizokuwa na vichwa wala miguu kwa muda mrefu hapa Tanzania. Na hivi karibuni nadhani baada ya kulamba ruzuku zaidi ya milioni za Tanzania 800 wanaweza kuanza operations zisizo na ukomo Nchi nzima! Mimi...
  13. M

    Mtoto wa miaka 6 adaiwa kufariki baada ya umeme kukatika akifanyiwa upasuaji. Mkurugenzi asema hawana uwezo wa kufanya upasuaji wilayani humo

    Kuna taarifa inasemekana mtoto mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 6 hadi 8 amefariki dunia baada ya umeme kukatika katika Hospitali moja iliyoko Wilaya ya Mkinga Mkoa wa Tanga wakati mtoto huyo akifanyiwa operesheni. Mtoto huyo inasemekana alikuwa anafanyiwa upasuaji mdogo kwenye Pua...
  14. jerrytz

    Operesheni ThunderBolt: Mkakati wa Kuokoa Mateka wa Israel Entebe - Uganda

    Ni Juni 27, mwaka 1976 majira ya saa 12.30 jioni; ndege ya Airbus A300 inayomilikiwa na shirika la ndege la Ufaransa (Air France) ndege namba AF139 ilipaa kutoka uwanja ndege wa Athens. Ndege hii ilitua katika uwanja Athens ikiwa safarini kutoka Tel Aviv Israel kuelekea Paris Ufaransa. Mpaka...
  15. JanguKamaJangu

    Operesheni ondoa wavamizi katika Bonde la Wami/Ruvu

    OPERESHENI ONDOA WAVAMIZI KATIKA BONDE LA WAMI/RUVU imeanza ambapo Wafugaji wanaodaiwa kuwa ni wavamizi wamekutwa na ng’ombe zaidi ya 400 kwa siku ya leo tarehe 14-10-2022. Wameondolewa katika Kijiji cha MSONGE ambapo waliweka KAMBI, pembezoni mwa Mto Ruvu. Askari kadhaa wakiwa na silaha za...
  16. MK254

    Ukraine wakomboa kijiji cha kwanza Luhansk, operesheni mbele kwa mbele

    Vilianzia Crimea vitaishia Crimea..... Ukraine has recaptured its first village in Luhansk, a region that Russian forces took five months to bomb into submission and conquer. Belogorovka is the latest prize for Ukraine’s continuing counter-offensive pushing Russia away from the second city of...
  17. Mzigdash

    Operesheni Wembley ya Kampala Uganda Watanzani tuna chakujifunza.

    Operesheni Wembley ni jina ambalo ilipewa operesheni ya usalama nchini Uganda mwanzoni mwa miaka 2001 ilikupambana na makundi mbalimbali ya uharifu kwa kuwakamata, kuwaweka kizuizini, kuwatesa na kuwaua majambazi wenye silaha. Raisi wa Uganda Y. Miseveni alianzisha operesheni hiyo Maalumu baada...
  18. MK254

    Picha: Makao makuu ya Urusi yalipuliwa kwenye operesheni ya kuirejesha Kherson

    Urusi baada ya kuteka mji wa Kherson, walipata jeuri hadi ya kusimika makao makuu na kujichimbia, sasa kibao kimegeuzwa, operesheni fagia fagia na kufyatua, Ukraine wanakomboa ardhi ya mababu zao..... makombora ya HIMARS yanachana anga. AUkrainian strike in occupied Kherson on Tuesday morning...
  19. MK254

    Operesheni ya kurejesha mji wa Kherson yazaa matunda, Warusi 82 wauawa na zana kulipuliwa

    Kibao kimegeuzwa, Mrusi aanza kupokea mapigo kwenye nchi aliyokua anajaribu kuparamia....mbele kwa mbele...hongereni Ukraine, hata kama mtauawa ila ni nchi yenu, taifa lenu, ardhi yenu, bendera yenu....vizazi vijavyo vitasoma kwenye historia namna mashujaa mlipambana na kumfukuza...
  20. Rashda Zunde

    Operesheni ua utalii Tanzania

    Ni mchezo mchafu unaoratibiwa na washindani wa utalii wa Tanzania kwa ufanisi mkubwa kutumia watanzania wenyewe kupitia upotoshwaji kuhusu mazoezi mawili tofauti LOLIONDO na NGORONGORO. Wanapotosha makusudi huku wakijua kuwa hakuna mtu hata mmoja aliyehamishwa Loliondo kwa kuwa kinachofanyika...
Back
Top Bottom