Guangdong OPPO Mobile Telecommunications Corp., Ltd, commonly referred to as OPPO, is a Chinese consumer electronics and mobile communications company headquartered in Dongguan, Guangdong, in China, and known for its smartphones, Blu-ray players and other electronic devices. A leading manufacturer of smartphones, OPPO was the top smartphone brand in China in 2019 and was ranked No. 5 worldwide. It is a subsidiary of BBK Electronics. It is a part of BBK Electronics Corporation along with Vivo, Realme and OnePlus.
Tuache Xiaomi na Huawei, hao habari nyingine kabisa. Yaani sio Samsung wala Apple apo atasogeza flagship yake.
Tuongelee hawa wawili, Oppo na Vivo.
Ukiwachukulia poa utasema ni garbage nyingine kutoka kwa Mchina, ila aisee hawa jamaa wana flagship kali sana.
Mfano: Vivo X100 Ultra, na Oppo...
Habari wadau humu jukwaaani,
Kama pengine kuna member ana simu tajwa hapo juu maybe imekufa mashine au shida ingine.
Mimi mdau mwenzake nina uhitaji wa kioo cha simu kama hiyo, kama yupo anicheki inbox au anijibu post yangu kisha tuone namna ya kuweza kufanya biashara nae.
Sihitaji kuingia...
Wakuu, hoping mko salama.
Nahitaji simu second hand, isiwe ya wizi, ikiwa na receipt au used toka nje itakua vema zaidi.
Iwe miongoni mwa brands tajwa hapo juu.
Specs
1. Resolution iwe na 1080x2400 au zaidi
2. RAM 6 au above storage 128.
3. Battery 4000 au above
4. Dual simu (ikiwa na esim)...
VIVO Y71 RAM 6 STORAGE 128
Moja tsh 100000
Jumla kuanzia tatu 92000 tu
Pia unaweza kuagiza china kwa bei za viwandani
Tupo kariakoo karibu dukani pia mkoani unatumiwa
Call/whatsap +255713861567
Kwa miezi takribani mitatu iliopita tumeshuhudia simu za oppo zikianza kuuzwa kwa bei ndogo kuliko kawaida kwenu wataalamu wa simu mnafikiri inatokana na nini?
Bidhaa zote za kielectronic Simu, Pc, Tablet, Sabufa, Tv na Fridge vinapatikana kwa bei rahisi sana, simu zetu zipo used from Dubai na Full boxed mpya kabisa tunauza Iphone, Samsung, Google pixel, Sony, Oppo na Infinix warranty ni uhakika Tv pia zipo Hisense, Samsung ukubwa tofauti tofauti...
Wakuu habari,
Naombeni ushauri wenu,ninataka kushift kutoka oppo A52 ninayotumia sasa kwenda Redmi Note 12, nimepitia review zake GSM Arena, nineona wadau wanaiponda sana, nafikiria pengine nibaki kwenye brand ya oppo, lakini bado sijui ipi itanifaa ,au niende kwa redmi tu, bajeti yangu ni...
nina smartphone aina ya oppo r7 plus yenye sifa zifuatazo:-
64GB storage
4GB ram
6.6 inches display size aina ya omoled yenye graphic kali sana
13mp back camera yenye kuonyesha kitu katika ubora wa hali ya juu. napatikana bagamoyo pwani kwa simu nambari 0748106950 nahitaji 130k kwa hii simu...
Wakuu kwenye misele yangu Dubai Mimi sio mfanyabiashara wa simu ila nimezikuta hizi simu OPPO A 57 bei zake imenivutia nizibebe kadhaa kupatia uchakavu bongo, je ubora wa hizi simu ukoje? Nisije kwenda kuwauzia watu simu Bomu nikaitwa tapeli, binafsi Mimi sizijui simu hizi.
Simu tajwa hapo juu zimenivutia maana naona kama zina spec sawa ila zinaachana padogo dogo
Redmi nimeipendea camera 50mp oppo 16
Oppo tena nimeipendea yeye ana finger sensor ya pembeni Redmi nyuma...
Nichambulieni ipi itakuwa zaidi ya mwenzake
bei
camera
cover
dubai
free
from
galaxy
google
google pixel
hot
huawei
infinix
iphone
iphone 11
iphone x
kali
laini
mbili
mtandao
note
note 9
offer
oppo
pro
ram
redmi
samsung
samsung galaxy
sana
sony
spark
tecno
used
Kwakweli Apple na product yake ya iPhone ni kama vile ni unstoppable, iPhone 13 imefanya vizuri sana na kuirudisha apple kwenye nafasi ya 1 kwa mauzo na mapato nchini China.
Kama mnakumbuka kuna kipindi ilifanyika kampeni ya kushusha mauzo ya iPhone China ili kupandisha mauzo ya simu...
Hello wanajamvi natumaini mko njema tukiendelea kupambana na hali ya Baba Wa Taifa
Kwa kifupi ndugu zangu nahitaji kununua simu aina ya Oppo lkn nilipo upatikanaj wake mdogo n kupata ile nahitaji Ila naweza fika Arusha au kati ya Arusha na moshi kununua hivyo nilikua naomba kama kuna mtu...
habari karibuni dukani kwetu ujipatie simu kali za oppo .
oppo a15
ram 2 gb
storage 32gb
Front Camera: 5MP✅
Rear Camera:13MP + 2MP + 2MP✅
RAM: 3 gb✅
Storage:32GB✅
Battery Capacity 4230mAh✅
OSAndroid 101✅
Warranty 2year ✅
karibu sisi ndio the only oppo brandshop in tanzania
Price
2GB ram...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.