Guangdong OPPO Mobile Telecommunications Corp., Ltd, commonly referred to as OPPO, is a Chinese consumer electronics and mobile communications company headquartered in Dongguan, Guangdong, in China, and known for its smartphones, Blu-ray players and other electronic devices. A leading manufacturer of smartphones, OPPO was the top smartphone brand in China in 2019 and was ranked No. 5 worldwide. It is a subsidiary of BBK Electronics. It is a part of BBK Electronics Corporation along with Vivo, Realme and OnePlus.
Ndugu Mashabiki wa OPPO nipo katika savey ya simu tajwa. Ninalinganisha bei nipate uelewa. Je, kwa sasa simu hizi zikiwa mpyaa, OG zinacheza shilingi ngapi hapo mjini kwenu? Wale mliopo jirani na maduka makubwa tafadhali ninaomba msaada kufahamu.
Shukrani
Ram 8gb
ROM 128gb
Betty 5000mAh
Double line
Chpset Snapdragon (11nm)
Tsh 280,000
Inacrecks kidogo haina atizo lolote zaidi inapiga kazi freshi
0692402211
Wajuvi natumia Oppo A9 2020 yenye RAM 8gb na ROM 128gb Mimi ni mgeni kwenye hizi simu yeyoye anayejua Jinsi ya ku-update Android kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Nawasilisha.
Nimenunua simu aina ya oppo A37f kwa wachina wa Kikuu. Tatizo kila nikijaribu kuwasha data naona hairespond kabsa japokuwa inaonesha kwenye bar 3G. Je tatizo linaweza kuwa ni simu au settings tu. Mweny ujuz na uzoefu na hili msaada please.natumia line ya voda
Kamati ya EISA imekagua simu janja ambazo zilizindua mwaka huu na kuzawadiwa bora zaidi kati yao - hapa ndio washindi.
The OnePlus 8 Pro walipata tuzo bora ya Smartphone. Jopo la waamuzi lilifurahishwa na jinsi kifaa huchanganya muundo na cutting edge, ikionyesha display ya 120 Hz 1440p +...
Natamani ku-test the difference kwenye hizi simu za kichina.
Mimi ni mpenzi wa hizi display za Samsung za curved na amoled au oled screen.
Sasa hizi brand za kichina zina-offer the same screen design and displays. Na pia zinatoa premium specifications kwa bei ya chini ya hizi za Samsung au...
MAANA YA ku-ROOT
ku-ROOT maana yake ni kuweza kupata uwezo au access ya system files zilizopo kwenye simu yako ambazo kwa kawaida zinakuwa zimejificha au kuzuiwa kwa mtumiaji ili asiweze kuzifikia , kwa kiingereza naweza kusema its an ability to obtain administrative access or rights on the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.