Habarini wakuu wa kazi naombeni kujuzwa utumishi (sekretarieti ya ajira wanatumia utaratibu gani kumpata mshindi wa baada ya oral interview?
Kuna post moja ya kazi ilitangazwa waombaji waliofanya kwa usahili wa kuandika walikuwa kama 128 hivi baada ya mchujo wa kuandika wakabaki wasahili wa...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,,, "" hamna zipo ,,hamna zipo " hatimaye majibu yamepatika
Bila shaka utumishi wameprove kile wanachokisimamia,,, kuwa hamna mtu atakaye pata kazi kwa kupitia utumishi bila kufanya interview
Sasa basi kesho zoezi la kuendesha sahili za walimu nchi zima...
Wakuu habari, kesho naingia kwenye usaili wa oral mwalimu wa HISABATI ngazi ya degree.
ila transcript ya matokeo sijafanikiwa kuipata orijino,nimepata kopi tu ila vyeti vingine vyote ni og, daa nmechanganyikiwa.
Mrejesho:
Wakuu asante sana kwa ushauri, nilienda kwenye eneo la usaili, mara ya...
Habari, naomba niweze kutoa uzoefu kidogo kuhusu nilivyoona baada ya kuhudhuria usaili wa muktadha wa muktadha wa mdomo (oral interview).
Kusikiliza kwa ufanisi: Sikiliza vizuri kabla ya kutoa majibu. Jibu kulingana na unachokisikia. Kwa mfano, umeambiwa pointi tano, basi jibu kwa pointi tano...
Habari
Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
Jamhuri ya Muungano....
Kwenye usaili wa Oral Kada ya afya wengi wameboronga kwa sababu ya kingereza kibovu. Kutokujua kingereza wengi kumewafanya wasijiamini katika kujieleza.
Ndugu zetu walimu ni vizuri Siku Mbili zilizobakia kama unajijua unaongea broken English, bora ujipige Msasa kuficha...
Jamhuri ya muungano.
Katika moja na mbili nikakutana na kijana anayeishi upande huu wa pili wa shilingi (Zanzibar), akiwa mnyonge sana, mdomo mkavu mithili ya dagaa wa nyasa waliokaushwa, kichwa kingali kimevurugwa kiasi, akasema "natamani Oral interview ifanyiwe huku pia. Nikamuuliza "why...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
Nafasi zilizopo 11,000/=
Walioomba. 200,000/=
Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18.
Interview ya Kwanza Written.
Washiriki 200,000
Nafasi zinazogombewa 44,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.
Interview ya Oral.
Washiriki 44000
Nafasi zinazogombewa...
Habari za weekend na poleni kwa majukumu.
Hivi karibuni kada mbalimbali za afya zilikuwa katika usaili was written na oral vikisimamiwa na ofisi ya rais utumishi wa umma
Kwanza niwape pongezi wote waliofanikiwa kushiriki katika saili hizi zote mbili.
Kwenye Thread hii naomba mtujuze Oral...
Kuna habari zinasambaa kuwa interview ya tabibu daraja la II (Clinical Officers ) imehairishwa mpaka Ijumaa tarehe 13/9/2024.
Mwenye uhakika na tarifa hiyo atusaidie with evidence.
Habari za weekend wakuu.
Swali langu ni kama heading isemavyo.
Na Mimi natamani nipate ajira niachane na huu ujobless, maisha magumu umri unaenda, wachumba hawanitaki kisa dough.
mfano wa maswali.
1. What do you understand by the term security as applied in Information Technology (IT)?
2...
Habari wanajf, kuna suala ambalo linanitatiza naomba wenye uelewa wanisaidie!!
Iko Hivi Mimi nina Diploma ya Civil engineering (Civil technician) nikafanya Oral interview ya ( VOCATIONAL TEACHER II PLUMBING AND PIPE FITTINGS) ambayo ilihitaji mtu mwenye diploma ya civil nikafaulu ila kutokana...
Habari wasaka ajira! Kuna tetesi ambao hazijathibishwa rasmi kuhusu kuitwa kwenye usahili wa mahojiano TRA!? Je ni kweli!? Tetesi zifuatazo bado hazijazibitishwa.
1. Kuwa wameita oral interview wale wa intern tu waliokuwa wanajitolea TRA.
2. Na Wameshachukua barua tayari kwa ajili ya...
Habarini,
Naomba kuuliza waliofanya oral interview ya community development Ile ya watu 800 kama tayari wameitwa kazini, kama Bado wadau kama Kuna mtu anayejua lini wataita atujuze.
Asante
Naombeni kuuliza kuna ndugu yangu anataka kujua:
Ukifanya oral interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako.
Jamani tendeni haki.
Kweli hakuna hata msichana hata mmoja aliyeshida kweli? Bugando tendeni haki! Mh Ummy umeona kasoro za kuwashirikisha watu wanaojuana kwenye taasisi kufanyisha Interview.
Inabidi wawe watu wasiowafahamu watainiwa. Hapa Bugando waliofanyisha interview ni walimu wenye ndugu...
Habari wakuu, poleni na majukumu. Siku ya leo nimeingia ajira portal na kukuta mabadiliko fulani nikashindwa kuelewa japo Hii ni mara yangu ya 7 kuomba kazi utumishi.
Kwa wale mliokuwa mkikubaliwa for oral interview, hivi ile sentence huwa inabadilika? Mfano kwenye picha nilizoambatanisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.