oral interview

  1. Mes92

    Waliokuwepo kwenye oral ya Mzinga corporation 29/12/2021 Morogoro vipi majibu bado jamani?

    Habarini za mda huu! Waungwana Kuna mwenye taarifa yoyote juu ya ile interview ya Mzinga tujuzane. Maana ni mwezi sasa au huwa wanachukua mda gani kutoa majibu ya oral? Kama Kuna mwenye experience na hizi ajira za utumishi tujuzane
  2. A

    Maswali kuhusu Oral Interview za Utumishi

    Wapendwa Habari zenu. Samahani nilikuwa naomba kuuliza majibu ya usaili wa ana kwa ana (oral interview) ya utumishi huwa yanatoka baada ya muda gani. Walisema wiki 2 mpka tatu lakini ni wiki ya 4 hii naona kimya hakuna update yoyote ile. Asanteni.
Back
Top Bottom