Kuna mtoto wa mtu amejaa, anataka nimvishe pete, nimeona isiwe tabu ngoja nikate kiu yake.
Naomba kujua maduka yanayouza pete original za madini kama almasi, dhahabu, shaba ama tanzanite kwa hapa Dar es Salaam.
Bajeti yangu ni kuanzia laki 5 hadi 2M. Lakini pia naomba ushauri wa aina nzuri ya...