original

  1. osc michael

    Unawezaje kupata HDD original?

    Salaam, Nimekuwa na changamoto, kila internal hdd unayonunua inakufa baada ya muda mfupi. Je, lipi linaweza kuwa suluhisho?
  2. Waziri wa Kaskazini

    Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

    Hii ndiyo gari la mnyama Platnumz, yaani gari itatua Uwanja wa ndege wa Mwl J.Nyerere terminal lll, likiwa ndani ya ndege ya kukodi ya mzingo.. So far, bei ya gari ni sawa budget nzima ya wizara ya Mwakyembe,
  3. pabro11

    Wapi nitapata mafuta ya nywele ya Cantu original?

    Heshima kwenu wakuu, nasikia hayo mafuta ni mazuri kwa nywele. Je kuna yeyote aliyewahi yatumia humu? Yanapatikana wapi kwa Dar? Bei yake ikoje?
  4. Maybach 255

    Riwaya: Mabastania

    WAHUSIKA, SEHEMU, MAJINA NA MATUKIO YALIYO KWENYE RIWAYA HII NI KAZI YA SANAA NA SIO HALISI. UFANANI WA AINA YOYOTE NA MAMBO HALISI NI NASIBU. ____________ 1 Kwenye Jumamosi tulivu; mawingu meusi ya masika yalitanda, mvua ilitishia kunyesha...na matope kwenye njia nyororo iliyopita kati ya...
  5. C

    Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi! Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
  6. Gudasta

    Simu original za Nokia zinapatikana wapi?

    Samahani Wanajamvi, naomba kuuliza ni duka gani Dar linalouza simu Original za Nokia (Smartphone) ?
Back
Top Bottom