Orlando Pirates Football Club (often known as Pirates) is a South African professional football club based in the Houghton suburb of the city of Johannesburg and plays in the top-tier system of Football in South Africa known as Premier Soccer League, The team plays its home matches at Orlando Stadium in Soweto.
The club was founded in 1937 and was originally based in Orlando, Soweto. They are named 'Pirates' after the 1940 film The Sea Hawk starring Errol Flynn. Orlando Pirates are the first club since the inception of the Premier Soccer League in 1996 to have won three major trophies in a single season back to back, having won the domestic league ABSA Premiership, the FA Cup Nedbank Cup and the Top 8 Cup MTN 8 during the ABSA Premiership 2010–11 season and domestic league ABSA Premiership, the League Cup Telkom Knockout and the Top 8 Cup MTN 8 during the ABSA Premiership 2011–12 season. They are one of only two South African teams with Mamelodi Sundowns to win the CAF Champions League, which they won in 1995. They are the runners-up of 2015 CAF Confederation Cup.Orlando Pirates drew an average home attendance of 14,533 in the 2016-17 domestic league season. It became the second-highest in the league.
Orlando Pirates ndio timu ninayo ipenda kuliko timu yoyote ile duniani. Asanteni sana kwa kuwapiga Amakhosi goli moko leo.
Credit: Ukurasa wa instagram wa Likudd wa Jamii Forums.
Cc LIKUD
Kumbe Likud ni shabiki wa Pirates? Sikujua hilo
Yaani tungeingia nusu fainali , hizi habari za kuombeana njaa wala zisingekuwepo kwa kweli maana kama siyo namba 9 tungekuwa wa 10.
Anyway wakati dua mbaya tunaelekeza kwa Etoile du sahel ya Tunisia na Es Setif ya Algeria kumbe wale wapuuzi wa soweto Orlando pirates walikuwa na viporo vitatu na...
Habari hii ndugu zangu wana jukwaa hamtaisikia ikiongelewa kwenye "media" zetu za HOFYOHOFYOOOOOO makanjanja huko yalipo yamekunja hadi sura maana week hii wamejaribu kufanya yooote kutingisha wana simba waapiiii raia wamekausha tu kimya lengo lao la kuleta mgogoro limeshindikana
Team kushika...
HT
0-0
Orlando 77% to win
Zbc live
Kipindi Cha pili kimeanza
==========================
RS Berkane yatwaa ubingwa kwa penati
RS Berkane ya Morocco imetwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuifunga Orlando Pirates ya Afrika Kusini kwa penati 5-4 katika fainali iliyochezwa...
Timu za Berkane na Orlando Pirates zimefika hatua ya final mashindano ya caf championship, Hii ni mara ya pili kwa timu ambazo zilifungwa na Simba kwenye uwanja wa Mkapa kufika hatua ya kucheza fainali kwenye mashino ya CAF.
Hii ina maana gani kwa timu ya Simba, uwanja wa Mkapa na timu zetu za...
Kabla ya mchezo baina ya Simba na Orlando Pirates Simba walifanya kituko cha kuwasha moto na kuweka duara kwa kuzunguka ule moto.
Je, hiki kituko hakitawaharibia?.
1. Joash Onyango
2. Henock Inonga
3. Clatous Chama
4. Pape Ousmane Sakho
5. Bernard Morrison
6. Peter Banda
Ambao sijawataja hapa waachwe upesi sana Msimu wa Ligi Kuu ya NBC ukimalizika tafadhali kwani hawana Jipya, hawa Msaada kwa Timu na Wameshachoka.
Sina desturi ya Kukosea Kiuchambuzi.
1. Ana dharau sana Wachezaji wenzake
2. Anajiona ni bora kuliko Wote Kikosini
3. Anapenda Sifa na attention za Kijinga Uwanjani
4. Ana Utoto mwingi
5. Ana deka hadi anaboa na kuharibu
6. Anajiamini sana mpaka kujisahau
7. Ana Ushamba ambao haujifichi
Nina uhakika kwa Ball Control yake...
Kabumbu la Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAF Confederation Cup (CAFCC), hatua ya robo fainali kuendelea kutimua vumbi leo April 24, 2022 ambapo wenyeji Orlando Pirates anapambana na Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, katika mchezo wa mkondo wa pili, kwenye dimba la Orlando Stadium Nchini Afrika...
"Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu kupata Usumbufu Uwanja wa Ndege hayo ni ya UHAMIAJI na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kucheleweshwa Barabarani hayo ni Masuala ya Jeshi la Police na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu Hoteli...
Baada ya kuona hawana cha Kupoteza na Wameshafungwa Orlando Pirates FC waliamua kucheza Mpira wao halisi ( halisia ) ambao waliuanza katika dakika ya 70 hadi ya 93 nikimaamisha ile ya 90 na zile 3 za Nyongeza.
Hivyo kwa Mapenzi mema na Klabu ya Simba nawaomba Wahusika Wote katika Benchi la...
Hawaja tu-treat vizuri, unaweza ukashangaa V.A.R Imewekwa lakini haijafanya kazi...! Kiufupi hawakustahili kushinda lakini Nina swali kwao Iwapo na sisi tutawafanyia hivyo mechi ijayo watajisikiaje?
Kocha wa Orlando Pirates, Mandla Cinkazi.
Hatuna shida sana matokeo tuliyopata maana yote aliyoyasema Abdi Banda yametimia. ila kilichotukera sana sisi ni vile vitochi vyenu vya kitoto mlivyokuwa mkivielekeza kwa golikipa wetu muda wote.
Karibuni South Africa.
Mohammed hussein atang'ara sana Pia atahusika kwenye bao lao kwanza la Simba.
Lwanga atapewa kadi mbili za njano
Kapombe au sakho mmoja atapata injury
Kennedy juma atachomesha goli 1
Mugalu atakosa magoli mengi ya wazi huku mechi ikiisha Simba 1 : 1 Orlando pirates
naweka silaha chini, kila la heri mnyama mkubwa kesho dhidi ya Orlando Pirates.
Mkipata goli 3 itakuwa advantage kubwa sana kuelekea mchezo wa marudiano na hatua muhimu kuelekea robo fainali.
Wito kwa sisi mashabiki wa Yanga, tujitunze kuwasapoti watani zetu katika hatua hii muhimu, baada ya...
Rekodi hii imenitisha, mpaka utumbo umecheza kwa zile beki zile ambazo hazijui kuruka mipira ya krosi kuna maafa makubwa sana. Naiona balaa kubwa sana, yajayo hayafurahishi
Habari wana jukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu, Mnamo tarehe 22/02/2022 shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) lilizipiga marufuku nchi za Kenya na Zimbabwe kujihusisha na shughuli zozote za soka kutokana na Serikali zao kuingilia mashirikisho ya soka ya nchi hiyo kitu...
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limeruhusu mashabiki 60,000 kuingia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mtanange, hatua ya Robo Fainali kati ya Simba SC kutoka mitaa ya Msimbazi Jiji Dar es salaam, dhidi ya Orlando Pirates kutoka Afrika Kusini.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.