Kuanzia sasa, unatakiwa kutembelea mara kwa mara tovuti rasmi ya Idara ya Uhamiaji Tanzania www.immigration.go.tz kufuatilia orodha ya majina ya pasipoti zilizokamilika, ambayo itawekwa kila siku.
Jina lako likiwa kwenye orodha, unatakiwa kufika katika sehemu husika ya Uhamiaji kuchukua...