Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 753
- 1,699
Kuanzia sasa, unatakiwa kutembelea mara kwa mara tovuti rasmi ya Idara ya Uhamiaji Tanzania www.immigration.go.tz kufuatilia orodha ya majina ya pasipoti zilizokamilika, ambayo itawekwa kila siku.
Jina lako likiwa kwenye orodha, unatakiwa kufika katika sehemu husika ya Uhamiaji kuchukua pasipoti yako tayari kwa matumizi katika safari zako za nje ya nchi.
Alipoulizwa Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania, Paul John Mselle amesema “Tumefanya hivyo ili kuwakumbusha pia Wananchi kwenda kuchukua Pasipoti zao, mfano Dar es Salaam pekee kuna zaidi ya Pasipoti 4,000 hazijachukuliwa.”
Pia soma:
~ Nimeshindwa kusafiri kisa Uhamiaji Mbeya wamechelewesha passport yangu
~ KERO - Idara ya Uhamiaji Arusha unaomba Pasipoti leo unaambiwa usubiri miezi mitano au 6, inaumiza sana hii!
~ Ukimya wa Idara ya Uhamiaji dhidi ya maumivu makali ya Wananchi Wanaosubiri Pasipoti
~ Uhamiaji wanakera kwa kuchelewa kutoa hati za kusafiria
~ Maafisa na Askari wa Uhamiaji tunateseka kwa uhamisho bila malipo
~ Kuna harufu ya rushwa Idara ya Uhamiaji kutumika kuhuisha vibali kwa raia wa China waliomaliza muda wa kuwepo nchini
~ Baadhi ya Maafisa wa Uhamiaji Wilaya ya Muleba wanatumia 'Road Barrier' kula rushwa