osama bin laden

  1. Chizi Maarifa

    Osama Bin Laden hakuuawa! Miaka zaidi ya 10 sasa

    Nakumbuka sana tulitangaziwa sehemu mbalimbali kuwa Osama hajauawa. Ni propaganda za Wamarekani. Na hoja ikawa kama kweli wamemuua kwa nini wasimwoneshe uso na mwili wake? Leo hii ni zaidi ya miaka 10 imepita je Osama Bin Laden atakuwa sehemu ametulia tu kimya? Au tukubaliane na ukweli ambao...
  2. I

    Je, mtoto wa nyoka ni nyoka? Mtoto wa Osama Bin Laden atakiwa kuondoka nchini Ufaransa

    Serikali ya Ufaransa imemuamuru Omar bin Laden, mtoto wa kiongozi aliyeuawa wa Al Qaeda Osama bin Laden, kuondoka nchini humo kutokana na machapisho yake kwenye mitandao ya kijamii. Waziri mpya wa mambo ya ndani wa Ufaransa Bruno Retailleau, ameandika kwenye mtandao wa X kwamba mtoto huyo wa...
  3. Mjanja M1

    Unalijua hili kuhusu mtoto wa Osama bin Laden

    Je wajua? Omar bin Laden, mtoto wa nne wa Osama bin Laden, ni msanii na mwandishi, na sanaa yake inaonyeshwa nchini Ufaransa, ambako anaishi.
  4. ChoiceVariable

    Mtanzania Aliyetoa Taarifa zilizopelekea Kukamatwa Osama Bin Laden Atishia Kuishitaki USA, asema hajalipwa pesa zake Bilioni 68

    Mtanzania Jabarldin Hamis Ijengo ametishia kwenda Mahakamani Kuishitaki Ubalozi wa Marekani Nchini Kwa madai kwamba haijamlipa pesa zake kufuatia kutoa taarifa za Siri na uhakika zilizowezeshwa kuuwawa Kwa Gaidi Maarufu bwana Osama Bin Laden. My Take USA acheni Utapeli lipeni pesa za watu...
Back
Top Bottom