Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu.
Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
Raia wanalia kuwa kwa sasa hali ya kiuchumi ni mbaya. Mzunguko wa pesa ni duni na kila raia anapata magumu ya maisha. Rais hajali na hatusikii dokezo za kiuchumi kusaidia wananchi.
Police brutality? Mbona yupo kimya?
Tozo za kila namna ambazo zinamnyonya raia wa chini. Rais yupo kimya bila...
Ikumbukwe kuwa mnamo mwaka 1999 nchi zilizo chini ya NATO wakiongozwa na Marekani ziliishambulia na kuiharibu vibaya sana nchi ya Serbia (wa iliyokuwa Yugoslavia ya zamani). Nchi za magharibi zilikuwa zinalitetea jimbo la KOSOVO lililokuwa linataka kujitenga na Serbia. Uvamizi huo ulifanikisha...
Katika vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine kumezuka mambo mengi yaliyokuwa hayakutarajiwa.Moja ya hilo ni kauli ya waziri wa mambo ya nje wa Urusi kuwa Hitler alikuwa ni myahudi.
Israel imekuwa daima ikiomboleza kuuliwa kwa wayahudi katika vita vikuu vya pili vya dunia kwa watu wao...
HABARI wakuu, kwanza kabla ya yote niwatakieni mfungo mwema.
Umri wangu ni Miaka 33, Nipo katika ndoa pia nina Watoto Wawili na huyu mwanamke, naona nisiandike Mengi kuhusu maisha yangu na huyu Mwanamke ila kimsingi tu ni MTU ambae ninapitia changamoto nyingi sana katika mahusiano haya, yaani...
Nimeweka sana juhudi kwenye kujijengea maisha lakini nguvu zote hazijafua dafu. Muda huu nimelala apa kitandani ila usingizi sipati kwa maana nipo kwa baba wakati ilinipasa niwe nafanya harakati za kuoa kwa umri wangu.
Nimetafuta sana mtu wa kunifadhili mtaji nifanye biashara ninayoifaham vyema...
Hii kesi serikali ilijiaminisha hatari, Sirro akatangazia dunia kuwa wanao ushaidi wa kutosha wa kumtia hatiani Mbowe, Tena akataja wanao mashaidi 24. Walidhani wataendesha kesi gizani, ndo maana mwanzoni walikuwa wanakataza watu wasiingie mahakamani. ASP Kingai alifikia hatua ya kumwambia Mbowe...
Wanabodi,
Serikali inataka kufanya mengi na katika kufanya hayo, inataka kutumia muda mfupi kutekeleza miradi ya kimkakati kama njia ya kupeleka maendeleo kwa wananchi. Labda kuna uwezekano kwa serikali kukamilisha mipango yake bila kukopa lakini maelezo tuliyoyapata kutoka kwa viongozi wa nchi...
Yawezekana watu wengi sana wanatizama na kuona kuwa soka la Bongo limekuwa katika miaka ya hivi karibuni. Lakini tujiulize mbali na mafanikio binafsi ya vilabu hasa Simba na jitihada binafsi za mchezaji mmojammoja kama Samatta na Msuva ni nini kingine ambacho sisi kama Taifa tunaweza kujivunia...
Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza...
ajira
ccm
hana
hii
kauli
kudharau
makosa
makubwa
mkenda
msimamo
ndani
pabaya
prof. mkenda
profesa
rais
rais samia suluhu
uzalendo
viwanda
waziri wa kilimo
Kama kaawaida kuna ambao wanataka kutumia huu kama mtaji wa kisiasa. Wamachinga walikuwa bad handled before tusiendelee kukosea.
Hakuna Jiji au Mji ambao hauna mipango au utaratibu. Kuwaacha tu wakae au wafanyanye watakavyo si sahihi. Mnaopiga kelele hebu ruhusuni waje waweke nyumbani kwenu...
Siku 4 baada ya kijana Hamza kusababisha mauaji ya wapendwa wetu pale Selander Bridge nilikwenda Airport kuwapokea jamaa zangu kutoka Ulaya. Tukiwa kwenye gari langu kuelekea Mikocheni, njiani kwenye barabara ya Nyerere tukaona vibanda vingi vichafuvichafu njia nzima kutoka Airport hadi...
Hatuta shangaa IGP Sirro kubadilishwa inaelekea hakuna mtu ambaye anamwamini lakini kibaya zaidi amejiingiza sana kwenye siasa waziwazi.
Sirro atatumika na Rais Samia kujisafisha kwa mambo ya ajabu yaliyotokea haya ni mambo ambayo yatamfanya Rais Samia amtoe Sirro
1. Mbowe: Suala la Mbowe...
Chadema kuendelea kutumia ibada kumuombea Mbowe, kudai Katiba Mpya
By Mgongo Kaitira
Mwanza. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea na mbinu yao mpya ya kudai Katiba Mpya kwa kwa njia ya amani kwa kutumia ibada zinazoendeshwa katika makanisa mbalimbali jijini Mwanza...
VIJANA WASOMI TOKA FAMILIA MASKINI HUPATA SANA KESI ZA UBADHIRIFU NA KUISHIA PABAYA... WAZAZI, SERIKALI NA JAMII NI YA KULAUMIWA.
Nawasalimu nyote kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.... leo nimeamua kuandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa mno nafsini mwangu. Ni suala linalotuhusu vijana wa...
Mimi ni mteja wa NMB Bank. Katika kurahisisha huduma zangu za kibenki, nimejiunga na huduma ya NMB Mobile Banking. Huwa nafanya miamala yangu kutoka na kwenda benki yangu. Juzi, nilitaka kufanya muamala wa kutoa pesa benki kupeleka kwenye tigopesa.
Kila nikijaribu kuingia kwenye menu ya NMB...
Kitu pekee Mwl Nyerere alikosea na nadhani anajutia hata huko aliko ni kuipa nguvu sana CCM
Chama kimekuwa na nguvu sana kuiongoza serikali, na ni Chama hiki hiki chenye wanachama wengi wafanyabiashara na wawekezaji wengine wa kawaida kuliko wasomi (wabebovu wa masuala fulani kielimu)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.