Hii kesi serikali ilijiaminisha hatari, Sirro akatangazia dunia kuwa wanao ushaidi wa kutosha wa kumtia hatiani Mbowe, Tena akataja wanao mashaidi 24. Walidhani wataendesha kesi gizani, ndo maana mwanzoni walikuwa wanakataza watu wasiingie mahakamani. ASP Kingai alifikia hatua ya kumwambia Mbowe...