padri

The Padri War (also called the Minangkabau War) was fought from 1803 until 1837 in West Sumatra, Indonesia between the Padri and the Adat. "Padri" were Muslim clerics from Sumatra who wanted to impose Sharia in Minangkabau country in West Sumatra, Indonesia. "Adat" comprised the Minangkabau nobility and traditional chiefs. The latter asked for the help of the Dutch, who intervened from 1821 and helped the nobility defeat the Padri faction.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakristo, tena nyie Roman mbona padri akipanda madhabahuni anakuwa hajavaa viatu?

    Naomba jibu, waumini wa Roman Catholic. Padri wenu havai viatu nyie mnaingia na viatu kanisani. Mnajifanyaga mko na akili sana.
  2. G

    Baba askofu wa Kanisa Katoliki Nchini Marekani Father Hilarion Heagy amesilimu na kuingia katika Uisilamu

    baba askofu Hilarion Heagy baada ya kusilimu amechagua jina "Said Abdul Latif" alisema kwamba "Baada ya miongo kadhaa ya kuhisi kuvutiwa na Uislamu kwa viwango tofauti, hatimaye niliamua kusilimu", "Sikuwa na chaguo lingine isipokuwa ni kusema Laailaha illa Allah Waanna Muhammad...
  3. Moshi: Padri wa Kanisa Katoliki alaani walioiba sadaka kanisani

    Paroko wa Parokia ya Narumu, Kata ya Machame Mashariki, Padri Thomas Chuwa amelaani vikali katika ibada ya Misa Takatifu kitendo kilichofanyika katika Ibada ya Jumapili iliyopita ambapo watu / mtu wasiojulikana wameiba kapu la sadaka kanisani. Sadaka hizo zilikuwa ni majitoleo ya shukrani...
  4. Moshi: Padri amshinda DPP kesi ya kubaka mwanafunzi na kuachiwa huru

    Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, Erasmus Swai amembwaga kortini Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) aliyekata rufaa dhidi yake kupinga uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Hai kumwachia huru padri hiyo katika kesi ya ubakaji. Januari 1, 2021 padri huyo alifikishwa mahakamani kwa mara ya...
  5. Ajabu na inashangaza wakuu! Padri aliyefumaniwa jana ndiyo ameendesha ibada leo kanisani

    Yaani kuna mambo yanakera sana hii dunia ama hakika ukiwa mfuuatiaji wa kila kitu utaishia kuumwa ugonjwa wa ulcer tu yaani kuna vitu vinakera kweli kwenye hii dunia kwakweli Nikuambie kitu jana maeneo x kuna padri wa kanisa x maarufu hapa nchini amefumwa gest x akiwa na mke wa mtu akila uroda...
  6. Mashahidi 10 kuhojiwa kesi ya Padri anayedaiwa kubaka mtoto

    Mashahidi hao ni wa upande wa mashtaka kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashitaka (NPS) dhidi ya Padri Sostenes Bahati huku upande wake ukisema utakuwa na ushahidi wa mshitakiwa kutokuwepo eneo la tukio siku ya tukio. Ushahidi huo unaofahamika kama Alibi, unahusisha mshtakiwa kujitetea kuwa alikuwa...
  7. HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

    Zama za kiimani kwa Kanisa Katoliki zimebadilika, maisha ya waumini na Mapadri ndani ya Kanisa Katoliki yamebadilika, na mifumo ya kimaisha imebadilika. Sio siri tena, Kutubu mbele ya Padri kwa sasa kumekuwa sumu ya kuwaumiza waumini au kitendawili chenye kukosa majibu. Kiapo cha Upadri...
  8. MOSHI: Mahakama yaelezwa mtoto anayedaiwa kubakwa na Padri alienda kuungama

    Mshtakiwa katika kesi ya ubakaji namba 45 ya mwaka 2022, Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Deonis Aropagita katika Jimbo la Moshi, Sostenes Bahati Soka, amesomewa maelezo ya awali. Padri Soka amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi, Kilimanjaro leo Jumatatu Oktoba...
  9. Padri Kitima: Serikali iweke wazi matumizi ya miradi ili kudhibiti Rushwa

    Padre Dkt. Charles Kitima amesema nchi inahitaji kuweka wazi ripoti za mapato na kazi inazozifanya zinazogusa maisha ya watu ili kuwezesha wananchi kupima na kuiwajibisha Serikali na si wabadhirifu pekee. Pia, Katibu Mkuu huyo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ameeleza kuwa wananchi...
  10. Hivi Padri mtuhumiwa wa ubakaji na yeye ana Wakili?

    Uwakili ni kazi ya ajabu sana kwakweli, yaani unaanzaje kumtetea mtu katili kama huyo Padri, anaeweza kubaka watoto wadogo? Mimi ni Mkatoliki kabisa ila naomba sana sheria isipindishwe kwa huyu mtu, apewe adhabu stahiki iwe fundisho kwa wote wanaonyanyasa watoto kihisia kwa sababu ya mwamvuli...
  11. Moshi: Padri Soka asomewa maelezo ya awali shutuma ya ubakaji

    Sostenes Bahati Soka, Padri wa Kanisa Katoliki, Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita, Jimbo la Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro leo Oktoba 10,2022 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusomewa maelezo ya awali Katika shitaka linalomkabili la kubaka mtoto wa miaka 12. September 26...
  12. Uchambuzi maalumu: Uzi wa Padri kulawiti watoto Vs Sheikh kulawiti watoto

    Habari za muda huu wana JF Baada ya kuibuka hivi karibuni matukio ya viongozi wa dini kulawiti na kupitia michango ya wadau mbalimbali humu kuna mambo nimeona muhimu kugusia. Inapaswa kutambua kuwa kwa zama hizi suala la malezi na maadili linapitia wakati mgumu mno maana kila sehemu usalama...
  13. N

    Sasa umeshakuwa upumbavu; Akilawiti shehe wakristo wanachekelea, akilawiti padri waislamu wanachekelea!!

    Ndo hali halisi humu jukwaani sasa! Hakiangaliwi chanzo tena, ikitokea habari ya kubaka/kulawiti basi watu hukimbizana kuangalia kwanza nani katenda na si ilikuaje au tatizo nini hadi limetendeka hilo. Akishajulikana tu mbakaji/mlawiti (kiimani) basi watu hukimbizana tena mbio za speed ya hali...
  14. Kanisa Katoliki lamtenga Padri Soka, lamuondoa kwenye nyumba za Mapadri

    Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, limemuamuru Padri Sosthenes Bahati Soka (41) anayekabiliwa na mashtaka ya kubaka watoto watatu wa kike kuondoka katika nyumba za kanisa hilo. Badala yake, barua ya Askofu wa Jimbo hilo, Ludovick Minde ya Septemba 26, mwaka huu ambayo gazeti hili limeona...
  15. Moshi: Kanisa Katoliki lamsimamisha Padri anayetuhumiwa kubaka Watoto

    Siku mbili baada ya Padri Sostenes Bahati Soka wa Jimbo la Moshi, mkoani Kilimanjaro, kushtakiwa kwa ubakaji wa watoto watatu, Kanisa Katoliki nchini limesema limemsimamisha kutoa huduma za kiroho hadi tuhuma zinazomkabili zitakapomalizika. Padri huyo aliyekuwa paroko wa Parokia Teule ya...
  16. Kanisa latoa msimamo tuhuma za padri

    Siku mbili baada ya Padri Sostenes Bahati Soka wa Jimbo la Moshi, mkoani Kilimanjaro, kushtakiwa kwa ubakaji wa watoto watatu, Kanisa Katoliki nchini limesema limemsimamisha kutoa huduma za kiroho hadi tuhuma zinazomkabili zitakapomalizika. Padri huyo aliyekuwa paroko wa Parokia Teule ya...
  17. UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi

    UPDATES: Sostenes Bahati Soka, Padri wa Kanisa Katoliki, Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita, Jimbo la Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro amesomewa mashtaka matatu katika Mahakama mbili tofauti. Padri huyo mwenye miaka 41, amesomeshwa mashataka hayo leo Jumatatu, Septemba 26, 2022 kwa nyakati...
  18. Padri Kitima: Vijana hawatavumilia milele, ipo siku wataleta mapinduzi

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC) Padri Charles Kitima amewaasa wanasiasa kujirekebisa kwani ipo siku vijana wataleta mapinduzi miaka michache ijayo. Ameyasema haya kwenye mjadala wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Demokrasia Septemba 15, 2022. "Msipo jirekebisha ninyi...
  19. Padri wa Kanisa Katoliki aliyefukuzwa afunguka

    Wakati Padre Christopher Fosudo aliyefukuzwa na Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam akitarajia kuondoka nchini hivi karibuni, Jeshi la Uhamiaji limesema halina tatizo naye. Agosti 17, 2022, Katibu wa Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Vicent Mpwaji alituma barua kwa mapadri wote...
  20. Askofu Mkuu Katoliki Dar es Salaam amtimua nchini Padri wa Nigeria

    Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amemwamuru Padri Christopher Fosudo, ambaye ni raia wa Nigeria, kuondoka mara moja jimboni mwake na kurejea nchini kwao. Padri Fosudo alikuwa paroko msaidizi, Parokia ya Watakatifu Mashahidi wa Uganda, Magomeni Dar es...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…