Jambo kubwa lililopamba mahafali ya 15 ya Chuo Kikuu Ardhi (ARU) yaliyofanyika juzi, ni uwepo wa mhitimu wa Shahada ya Uzamivu, ambaye ni padri aliyepitia pia mafunzo ya kijeshi.
Padri huyo, Dk Henry Rimisho wa Shirika la Mitume wa Yesu la Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amevuta...