pamba

The Pamba River (also called Pampa river) is the third longest river in the Indian state of Kerala after Periyar and Bharathappuzha and the longest river in the erstwhile former princely state of Travancore. Sabarimala temple dedicated to Lord Ayyappa is located on the banks of the river Pamba.
The river is also known as 'Dakshina Bhageerathi'. During ancient times it was called 'River Baris'.
The River Pamba enriches the lands of Pathanamthitta District and the Kuttanad area of Alappuzha District and few areas of Kottayam

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Partner kwenye Pamba

    Ninatafuta partner. Kulima naye Pamba kwa ajili ya kuuza. Tunawekeza pamoja baadae tunatafuta soko pamoja, lakini soko lipo. Kama tutaendelea vizuri, tutaingiza mazao mengine. Nitumie whatsapp yako
  2. CM 1774858

    Bei ya Pamba Tanzania imepanda kwa 125% toka mwaka wa fedha 2020/21 - 2021/22

    BEI YA PAMBA JUU,TOKA TZS 810 FY2020|21 HADI TZS 1,800 FY2021|22,KILA KONA YA NCHI NI SAMIA, SAMIA, SAMIA Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg FY 2020|21 mpaka Tshs 1,720-1,800/kg FY2021|22 kwa kilo, Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% liicha ya awali bei hiyo kuzinduliwa...
  3. Replica

    Playoff: Coastal Union 3-1 Pamba (5-3) | Coastal Union yafanikiwa kusalia Ligi Kuu Tanzania Bara

    Timu ya ligi kuu, Coastal Union leo inacheza mechi ya marejeo na timu kutoka daraja la kwanza inayojaribu tena kurudi ligi kuu, Pamba ya Mwanza. Mechi iliyopita walitoka sare ya magoli 2-2 na mshindi yeyote wa mechi ya leo anaweka mguu ligi kuu. ======== 00' Mpira unaanza hapa uwanja wa...
  4. B

    Agizo la mikusanyio la RC Mwanza lakwama mechi ya Pamba fc vs coastal Union au lilikuwa la kibaguzi

    Alizuia mikusanyiko ili kuwalinda wananchi na covid na amefanikiwa kuzuia mkutano wa Chadema ambao usingezidi watu 200 lakini kaachia mechi la Pamba vs coastal watu walijaa hatari.
  5. Jaji Mfawidhi

    Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

    Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi Mnamo Julai 05, 2021 waziri wa Utalii na maliasili Mhe. Dkt. Ndumbaro [Wakili na mmiliki/Partner wa Meleta and Ndumbaro Advocates iliyopo Dar es salaam ] alipotembelea Taasisi ya Mafunzo ya Viwanda vya Misitu (Forest Industries Training...
  6. J

    Igunga, Tabora: Wananchi wauza Pamba kwa bei nzuri kadiri ya maelezo ya Wizara

    Jimbo la Igunga Waendelee na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 - 2025 kwa kuwasimamia vizuri wakulima wa zao la Pamba katika kuhakikisha wanapata Soko na bei nzuri ya zao hilo muhimu chini ya Maelekezo ya Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana kwa Karibu na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe...
  7. beth

    Serikali yapiga marufuku wanunuzi kukopa pamba za wakulima

    Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Mnunuzi yeyote anapochukua Pamba katika Chama cha Msingi, ni lazima Mkulima awe amelipwa ndani ya muda usiozidi saa 48, na watakaoenda kinyume watafutiwa Leseni. Kauli yake imekuja baada ya Mbunge Robert Maboto kuhoji ni kwa namna gani Wizara...
  8. beth

    Stanslaus Nyongo: Pamba imegeuzwa kuwa zao la kisiasa

    Mbunge Stanslaus Nyongo amesema licha ya zao la Pamba kulimwa katika mikoa kadhaa Nchini ikiwemo Simiyu na Shinyanga, Uzalishaji wake umekuwa na kelele kwasababu ya kukosa soko la kudumu Akiwa Bungeni amesema, "Mkulima wa Pamba ananyanyasika miaka yote. Sisi kwetu Pamba imebadilika, limekuwa...
  9. M

    Nini kilikuwa kinamzuia Mama Kunyuka Pamba za maana alipokuwa Makamu na sasa anazinyuka kweli kweli?

    Tokea ale Kiapo chake hakuna Nguo anayovaa isimpendeze na hata isivutie Machoni mwetu Wazee wa Kuchunguza na Kudadisi kila Kitu. Siyo Siri Nguo alizokuwa akizivaa alipokuwa Makamu zilikuwa hazina Mvuto na zilizidi Kumzeesha Mithili ya Bibi Kizee mwenye Mkongojo wake. Halafu naona hata Usoni...
  10. beth

    Serikali yasema wakulima hawatakatwa fedha ya mbegu za pamba msimu wa 2020/2021

    Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema katika msimu wa zao la pamba mwaka huu 2020/21, hakuna mkulima yeyote atakayekatwa pesa za mbegu na viuatilifu. Alitoa kauli hiyo jana katika kikao cha wadau wa pamba nchini kilichofanyika mjini Bariadi katika Mkoa wa Simiyu. Alisema katika msimu...
Back
Top Bottom