pambano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Unapokutana na vibaka kuna mambo matatu tu, kimbia sana, uwe tayari kwa pambano au utoe ushirikiano, usianze kuleta ubishi / ujuaji.

    Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka ukipata madhara. Unapokutana na wezi ni option tatu pekee 1. Kimbia toka nduki utadhani umekanyaga...
  2. errymars

    Tyson Furry atangaza kustaafu Ngumi baada ya kupoteza pambano lake la mwisho na Oleksandr Usyk

    Bondia wa ngumi za uzito wa juu, Tyson Fury, ametangaza kustaafu mchezo wa ngumi baada ya kushindwa kwenye pambano na Oleksandr Usyk. Taarifa hii inakuja siku mbili tu baada ya Eddie Hearn kufichua mipango ya pambano kati ya Fury na Anthony Joshua katika Uwanja wa Wembley, ambalo lilikuwa...
  3. ministrant

    Waandaaji wa pambano la knock out ya mama mlipaswa kutumia brass band za majeshi yetu (TPDF, JKT, polisi au magereza) katika kupiga nyimbo za taifa

    Nimeshangazwa kuona waandaaji wa pambano hili ambalo linatazamwa Kimataifa na lina Jina la Mkuu wa nchi huku mgeni rasmi akiwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa well organized katika kuhakikisha nyimbo za Taifa zinapigwa katika ubora unaostahili badala ya kutumia recorded...
  4. ankol

    Miaka 50 imetimia Tangu Dunia Isimame kushuhudia Pambano Kubwa La Ngumi Kutokea

    Ilikua jumatano kama ya leo Tarehe hii hii mwezi huu huu mwaka 1974, Ndio miaka 50 pale Dunia iliposhuhudia mpambano mkubwa wa ngumi haukuwahi kutokea kati ya bondia George Foremen (Big George) na Muhammed Ali (The Greatest). Pambano hilo la aina yake lililopewa jina la Rhumble in the Jungle...
  5. E

    Ukikutana na mtu akakuita Mwanaume wa Dar es Salaam, jitahidi upigane mpaka ushinde hilo pambano

    Jiji hili limedumaza sana ujasiri ,ueledi na uanaume kwa ujumla . Kuna tukio nimekutana nalo nimewaza sana I stand to be corrected labda tukiwasema watabadilika .
  6. Analogia Malenga

    Pambano la muuza madafu wa ikulu halikuchezwa na hakuna sababu zilizotolewa. Azam mnatudharau wateja

    Jumamosi ni siku ya kwenda kula mbuzi Kibaha(Loliondo). Lakini kwa ugumu wa hela nikaona nisiende Kibaha nilipie kifurushi ili kumuona Muuza Madafu wa Ikulu akipambana ulingoni. Saa moja mapambano yakaanza na tukamuona Muuza Madafu anaingia kwenye uwanja hivyo nikajua hapa kweli jamaa...
  7. JanguKamaJangu

    Tyson apata changamoto ya kiafya, pambano lake na Jake Paul laahirishwa

    Pambano la ndondi kati ya Mike Tyson na Jake Paul ambalo lilipangwa kufanyika Julai 20, 2024 limeahirishwa baada ya Tyson kupata changamoto za kiafya hali ambayo itaathiri ratiba yake ya mazoezi kwa wiki kadhaa zijazo Pande zote mbili zimeafiki juu ya maamuzi hayo na inatarajiwa Tyson atarejea...
  8. Analogia Malenga

    Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania mtatuambia nini kuhusu pambano la Mwakinyo?

    Pambano la Mwakinyo na bondia kutoka Ghana limeshindwa kufanyika kwa kuwa Rais wa WBO, Samir Captan hakuwepo uwanjani kuleta mkanda. Maelezo ya Hassan Mwakinyo ni kuwa jamaa hajalipwa hela za mchezo huo. Kwa kushindwa kuwepo kwa mkanda uliokuwa unashindaniwa pambano limeshindwa kuchezwa. Fedha...
  9. BARD AI

    Pambano la Mike Tyson na Jake Paul laahirishwa

    Pigano lililopangwa kati ya Mike Tyson na Jake Paul limeahirishwa. Kucheleweshwa huku kunatokana na dharura ya kiafya iliyomhusisha Mike Tyson, ambapo alipata kichefuchefu na kizunguzungu wakati wa ndege, hali ambayo baadaye ilihusishwa na kuongezeka kwa kidonda. Ingawa wawakilishi wa Tyson...
  10. Suley2019

    Pambano la Mwakinyo lafutwa

    Kaminsheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBRC limesitisha pambano la ngumi baina ya bondia Mtanzania Hassani Mwakinyo dhidi Pactick Allotey kutoka Ghana kutokana na promota kushindwa kukidhi vigezo, moja ikiwa ni malipo kwa mabondia hao na pili ni ukumbi ambao utachezwa pambano hilo kutofikia...
  11. The Legacy

    Naomba Malumbano mbashara na kijana Lucas Mwashambwa juu ya mambo ya msingi kuhusu Maendeleo ya Taifa hili.

    Wasalam, Kwa kipindi kirefu tumeshuhudia wanabodi wengi wakisifia na kuimba mapambio ya kukisifu chama cha mapinduzi CCM kuwa Kimefanya mambo makubwa na yakupendezwa bila kusahau mapungufu yake. Naomba jamii forum tukubaliane muda na siku ili malumbano yetu yawe mubashara hapa kwa jukwaa kila...
  12. Hance Mtanashati

    Mwanadada bondia Claressa Maria Shields atangaza pambano lake dhidi ya bondia wa kiume Ryan Garcia amuoneshe kazi.

    Mashabiki wengi wa ngumi pamoja na mabondia mbalimbali wa ngumi duniani wameshtushwa baada ya kuona maandalizi ya pambano kati ya mwanadada Claressa Shields pamoja na bondia wa kiume Ryan Garcia . Ryan Garcia tangu amtandike kiroho mbaya bondia Devin Haney amekuwa na mapepe sana mpaka imekuwa...
  13. Pang Fung Mi

    Pambano: Nchi gani iko juu kwa wanawake wenye mpindo mzuri ama miili mizuri yenye makalio ya viwango kati ya Wanyarwanda na Waganda?

    Katika hili pambano mimi binafsi kusema ule ukweli nikiangalia ukanda wa maziwa makuu hapa Afrika Mashariki, kwa ujumla inapokuja swala la shepu hasa mpindo mzuri wa makalio ama Matrakoo Wanyarwanda hadi sasa wanaongoza kwa mbali sana, japo hawajazagaa sana huko Dubai na Arabuni ila hawa viumbe...
  14. B

    Malalamiko ya Dulla Mbabe na Ibra Class kwa kupoteza pambano dhidi ya Katompa ni sawa na mfa maji

    Nimeskitika sn Dulla na Ibra Classic kulalamikia chama Cha ngumi Tanzania eti Dulla alikuwa ameshinda. Kibaya zaidi Ibra Classic anaongea bila aibu eti majaji wameshindwa kumbeba Dulla kwa sababu hata wao wanapoenda Ulaya huwapiga wazungu lakini majaji huwabeba wazungu wenzao...
  15. JanguKamaJangu

    Dullah Mbabe apoteza kwa pointi dhidi ya Eric Katompa, Arusha, Novemba 25, 2023, Dullah alalamikia Majaji

    Mzaramo Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe anapigana na Mcongo, Erick Katompa katika pambano la Uzito wa Super Middleweight Mkoani Arusha Wawili hao waliwahi kukutana Oktoba 1, 2021 ndani ya Viwanja vya PTA pale Sabasaba Jijini Dar es Salaam ambapo Katompa alimtwanga Dullah Mbabe...
  16. Hance Mtanashati

    Pambano la Bongani na Majiha lina utata,suluhisho ni hili

    Baada ya pambano la jana kati ya Fadhili Majiha na Bongani Mahlangu kumalizika kwa utata baada ya pambano kuchezwa kwa raundi 10 tofauti na raundi 12 kama mabondia walivyosaini. Kikawaida mapambano ya mikanda ya WBC huchezwa kwa raundi 10 isipokuwa kwa mikanda ya WBC Silver na WBC gold belt...
  17. M

    FULL FIGHT: Pambano kati ya Francis Ngannou vs Tyson Fury

    Wanajf, leo kuna pambano kubwa duniani kati ya Mweusi Ngannou na Mzungu Fury. Ni pambano kubwa na la kusisimua. Wewe kama mpenzi wa ngumi, ushindi unampa nani? ===== Muktasari: Leo Oktoba 28, 2023, Mwanamasumbwi Francis Ngannou maarufu "The Predator" anapanda ulingoni kuzichapa na bingwa wa...
  18. H

    Wapenzi wa ndondi, kipindi bondia Tyson bingwa wa dunia kulikuwa na mapambano ya utangulizi kabla ya pambano lake!!?

    Tunapomalizia weekend jamani salamu🙁 Kichwa cha habari kinajieza.Huyu jamaa au mbabe wa ndondi enzi hizo ilikuwa akiingia tu basi anatoa klebu moja tu kwa mpinzani wake tena dakika ya kwanza tu na pambano linakuwa limeisha. Sasa mi naona watu au mashabiki walikuwa wanaliwa tu hela ya bure...
  19. The Assassin

    Natabiri Elon Musk wa Tesla/Twitter kumpiga KO Mark Zuckerberg wa Facebook kwenye Pambalo lao la Masumbwi

    Matajiri wawili Duniani, Bwana Elon Musk na Mark Zuckerberg wamekubali kuzichapa kavu kavu kwenye ulingo uliofungwa, caged match siku zijazo mjini Nevada. Binafsi natabiri Elon Musk kumfumua Mark kwa KO. --- Mr Musk posted a message on his social media platform Twitter that he was "up for a...
  20. JanguKamaJangu

    Ndondi: Bondia Ibrahim Class "Mawe" amchakaza Said Chino kwa pointi, Dar es Salaam

    Pambano limeanza Pambano hili la Ibrahim Class ‘Mawe’ dhidi ya Said Chino linaongozwa na Mwamuzi mkongwe, Emmanuel Mlundwa kwenye Ukumbi wa The Warehouse, Masaki, Dar es Salaam. Wanawania Mkanda wa Super Featherweight Jijini Dar es Salaaam, kabla ya pambano hili kulikuwa na presha kubwa ya...
Back
Top Bottom