Na K.S.K
Heshima yenu wana jamvi,
binafsi nimefurahishwa sana na ushindi wa kiduku kwa mara nyingine tena mbele ya dulla mbabe, na baada ya kiduku kubeba crown kumekuwa na hoja nying ya team kiduku wakimtaka/tukimtaka mwakinyo,binafsi sio muumin sana wa kutaka pambano hilo lifanyike mapema ešp...