Habari wana jamvi, naona bunge na Serikali ikiwa na hoja nzuri yenye mtazamo wa kuweka mazingira ya wananchi kupata afya kwa mfumo wa bima.
Kwakuwa ni shirika moja ndio linalotegemewa (NHIF) kwenye hiyo bima ya pamoja kwa watanzania wa maisha ya kati na chini zinaweza tokea changamoto hizi:-...