Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limesema hali ya ulinzi na usalama mkoani humo kwa mwezi Februari hadi sasa ni shwari huku likiwakamata watuhumiwa wa uhalifu, dawa za kulevya pamoja pikipiki zinazotumika katika uhalifu.
Akitoa taarifa hiyo leo Machi 18, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha...