Jumapili ya February 5, 2023 itakuwa ni siku ya utoaji tuzo za #GRAMMYs na hawa ndio mastaa waliothibitishwa kutoa burudani usiku huo, Bad Bunny, #MaryJBlige, Brandi Carlile, Luke Combs, Steve Lacy, #Lizzo, Kim Petras, na #SamSmith.
Licha ya orodha hiyo, jarida la #Variety limeripoti uwepo wa...