Polisi mkoani Kilimanjaro, wanamsaka mtuhumiwa wa mauaji aliyemjeruhi kwa kumkata kwa panga kichwani, askari wa jeshi hilo, wakati askari huyo na wenzake walipofika nyumbani kwake kwa lengo la kumkamata.
Askari huyo wa kituo cha Polisi Sanyajuu wilayani hapa, Wilfred Kavishe (pichani)...
Jeshi la polisi mkoani Mara limekiri kumshikiria Gimusi Murimi 42 mkazi wa wilaya ya Serengeti kwa kumjeruhi mkewe kwa kumuingizia panga sehemu za siri kwa kumtuhumu kuchepuka wakati yeye akiwa hayupo nyumbani.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara RPC Tibishubwamu amesema mtuhumiwa huwa anaishi...
Inadaiwa kuwa uongozi wa Klabu ya Simba un mipango ya kupitisha panga kwa wachezaji wao walioonyesha kushuka kiwango mara baada ya kumalizika kwa msimu huu.
Hilo limeshapangwa lakini kwa sasa wameweka wazi kuwa mawazo yao yote yapo katika kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali wanayoshiriki...
Mwanamke mkazi wa Kijiji cha Sibwesa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Wande Emmanuel (30), amemjeruhi mumewe, Dotto Enosi (35) kwa kumkata na panga kichwani kisha na yeye kujinyonga kwa kutumia kitenge.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, Ali Makame Hamad, alisema tukio hilo lilitokea...
BORA NIKAOE TANGA
Bora nikaoe Tanga, tena binti wa Pangani,
Yule anovaa kanga, na mitandio kichwani,
Aongea kwa kuringa, na lafudhi ya kipwani,
Awe na kauli njema, kwangu na kwa ikhwani.
Pangani nikimkosa, natafuta wa Handeni,
Niweze peleka posa, nioe niweke ndani,
Naenda haraka hasa...
Wakuu habari za Leo! This is true story.
Imetokea hivi karibuni hapa jijini Dar, Kuna jirani yangu amenisimulia nimshauri afanyaje maana, hivi karibuni akiwa anaingia kupata Moja moto moja baridi kwenye glossary ya jirani yetu mwingine ambaye ni Mjeda na amemfungulia glossary mke wake hapohapo...
Mkazi wa kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada ya kufumaniwa akitaka kufanya mapenzi na na mke wa mtu.
Taarifa zinadai kuwa kijana huyo aliyeuawa alikuwa akichati na mke wa mtu ambapo baadaye mume wa mwanamke huyo...
Wakuu,
Jana nilipata fursa kuitumia siku ya kumbukizi ya maisha ya Mwalimu kuzunguka zunguka vitongoji vya hapa Dar na mimi, nikapita mitaa ya Gezaulole - kigamboni aisee ni balaa - Mji umejengeka swafi, majumba makali makali nikawaza sana moyoni mwangu kwamba huku si ndiko watu walikuwa...
Mwanaume anayejulikana kwa jina la Heneriko John (53) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, amedaiwa kumuuwa mke wake Regina Jiyenze (45) kwa kumkata mapanga kichwani na mabegani, kisha kujisalimisha kwa Jeshi la Polisi.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga George Kyando, amesema tukio hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.