pango

Pango (stylized as Παν語) is a text (i.e. glyph) layout engine library which works with the HarfBuzz shaping engine for displaying multi-language text.Full-function rendering of text and cross-platform support is achieved when Pango is used with platform APIs or third-party libraries, such as Uniscribe and FreeType, as text rendering backends. Pango-processed text will appear similar under different operating systems.Pango is a special-purpose library for text and not a general-purpose graphics rendering library such as Cairo, with which Pango can be used. The Cairo documentation recommends Pango be used to "render" text rather than Cairo for all but the simplest text "rendering".

View More On Wikipedia.org
  1. REJESHO HURU

    Kinachoendelea suala la tozo ya kodi ya pango kupitia LUKU za TANESCO si sawa

    Hili suala ambalo mnalifanya mwezi huu tunaomba Waziri Makamba tazama upya Kodi ya tozo ya jengo ilianza mwezi Julai mwaka 2021, ajabu kuna watu wameungiwa umeme mwezi Februari 2022, wengine mwezi March 2022 wananunua umeme wanapata unit ndogo wakihoji wanambiwa umekatwa tozo ya Kodi kuanzia...
  2. B

    Waziri ang'aka akitaka Kodi za Pango la Ardhi

    Amesikika waziri Angelina Mabula akidai kodi kwa wananchi choka mbaya: Bila shaka hii ni juu ya kodi za pango la nyumba na tozo za Dr. Mwigulu zinazokusanywa juu kwa juu kupitia miamala ya simu. "Inafikirisha kuwa sehemu kubwa ya pesa hizi zinazokusanywa kwa nguvu kutokea kwa wananchi hawa...
  3. M

    Waziri Makamba, Tatua suala la kodi ya pango kupitia ununuaji wa LUKU

    Mheshimiwa Waziri Makamba Inavyoonekana vijana/watu waliotengeneza mfumo wa kulipia kodi ya jengo kupitia ununuaji wa LUKU walichokifanya, ni kukata pesa kupitia kila namba ya simu itakayonunua LUKU bila kujali namba hizo tofauti zinanunua umeme kwa ajili ya mita moja. Mathalani kama Namba X...
  4. Ngongo

    Ole Milya lipa pango Via Via tunapata taabu sana

    Wadau wa Via Via tumeanza kupata taabu baada ya club yetu pendwa kufungwa. Kila siku ya Alhamisi tulikuwa hatukosi disco na kuvizia vimwana wa kizungu katika hali ya kushangaza majuzi Club imetiwa kofuli kwasababu ya Mhe. Ole Millya kushindwa kulipa kodi ya pango. Tafadhali Ole Millya walipe...
  5. M

    Kituo cha Mabasi Magufuli bei ya pango hadi Tsh. 1,200,000/= kwa siku

    Sasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga wanauza maji na soda hizo hizo ndani na nje ya kituo hicho hicho kwa rent ya kitambulisho chake cha...
Back
Top Bottom