Nauliza tu!
Kwa nini wageni ndio wanapanga bei ya kuuza maparachichi?
Jirani zetu wananunua maparachichi kilo shillingi elfu mbili wanaenda kuweka label product of…. Hii ni dhambi kubwa sana!
Waziri wa Kilimo na Mkuu wa Mkoa lini mtawasaidia wakulima?
Parachichi ni tunda ambalo limesheheni virutubisho muhimu kama potassium, amino acids, na protein, ambavyo ni muhimu kwa mwili wa binadamu. Leo, nitazungumzia umuhimu wa parachichi katika nywele na jinsi ya kutumia bidhaa ya Grace Hair and Body Gardener ambazo zimetengenezwa na mafuta ya...
Kwa sisi graduates tuliopo mtaani mchongo huu, yaani parachichi moja hapo Ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6
Tuchangamkie fursa wazee utajiri upo ni kuamua tu
#msaka_ajira
Habari wakuu,
Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi.
Kwa aliyekuwa anahitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha parachichi, sasa jibu limepatikana. Kuna shamba la ekari 60 Mufindi linauzwa kwa bei nzuri. Shamba halijatumika kwa miaka mingi, kwa hiyo lina rutuba na linafaa kwa kilimo cha parachichi na...
Habari za Leo wakuu..
Naomba kwa anayefahamu Tani 1 ya parachichi(Hass) ni shilingi ngapi?
Naomba Bei ya shamba na Bei ya kutoka shamba mpaka Dar.
Shukran
MBEGU za PARACHICHI hutibu magonjwa ya fuatayo.
🌿High blood pressure
🌿High cholesterol
🌿Asthma
🌿Low immunity
🌿Cancer of the blood
🌿Obesity
🌿Candidiasis
Unachotakiwa kufanya ni kuchukua MBEGU ya PARACHICHI na kuisaga alafu utapata Unga.
Matumizi: Utakuwa unachemsha maji anaweka kwenya kikombe...
Ndugu, katika pitapita kwenye magroup ya wahangaikaji, nimekuta mtu anasema kilimo cha parachichi (aina ya fuerte) kinastawi Wilaya ya Urambo Tabora...Vipi kuna ukweli??
asante
Safari ya Tukuyu Stars na Isuzu Lao
-Kikosi cha Tukuyu Stars, timu iliyopanda daraja mwaka 1985, katika kituo cha Shinyanga na kuja kucheza Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara wakati huo na kuchukua ubingwa kwa kupoteza mechi tatu tu.
-Mwaka huo wa kupanda daraja wa 1985, Tukuyu Stars hadi...
Nimepanga niwe ninaula huo mchanganyiko mara tatu kwa wiki. Ni kachumbari ya nyanya, parachichi na vitunguu maji.
Japo naweza kuitumia bila ya kuiwekea chumvi, ikiwekwa alau kidogo ladha yake inakuwa nzuri sana. Hata hivyo, kwa kuwa lengo langu kuu si shibe wala ladha bali afya, nimekuwa...
Nimefanya kilimo cha parachichi kwa miaka nane sasa, nilichokiona ni haya;
1. Kilimo kina mzunguko wake ni mdogo parachichi huzaa kidogo kidogo kadri miaka inavyoenda, unatumia million 10 unapata million mbili...
HESHIMA KWENU WAKUU
Nimekaa nikiwaza sana kuhusu biashara ya mazao haya mawili. Sasa naomba mwenye kufahamu uendeshaji wa biashara ya kununua na kuuza haya mazao mawili (kahawa na parachichi). Hasa kwa kuzingatia yafuatayo;
1. Sehemu ya kununua
2. Soko
3. Mtaji
4. Changamoto zake
5. Utaratibu...
Wakulima wa Parachichi kupata fursa ya kuuza bidhaa hiyo katika soko la China kufuatia uamuzi wa Kampuni kubwa ya ununuzi wa mazao ya Yihai Kerry ya China kuanza kununua parachichi kuanzia msimo ujao. Kampuni hiyo hivi sasa inaongoza kwa kununua Ufuta unaoingia katika soko la China kutokea...
WanaJf,
Salaam!
Amenukuliwa akisema hivi
“Kilo moja ya parachichi inakwenda kuuzwa Dola 8, karibu 20,000 hapa mnauza kilo moja Tsh 800. Maandiko Matakatifu yanasema watu wa MUNGU wanateseka kwa kukosa maarifa" -
Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa @chadematzofficial taifa.
Mbowe Freeman ninafahamu...
FAIDA ZA PARACHICHI
(Faida 20 za Kula Parachichi)
Parachichi ni aina ya kipekee ya tunda. Matunda mengi kwa asili ni wanga lakini parachichi limejaa mafuta yenye manufaa makubwa kiafya.
Tafiti mbalimbali zilizofanyika zimebaini kuwa tunda la parachichi limesheheni manufaa makubwa katika afya...
Habari wakuu,
Kuna mahali nataka kwenda kununua tani kadhaa za parachichi ila sasa huko kijijini wauzaji wanauza kwa kipimo cha ndoo (debe).
Naomba kujua kwa wenye uzoefu, ndoo moja ya lita 20 ikijaa parachichi inaweza kuwa na wastani wa uzito wa kilo ngapi?
Natanguliza shukrani.
Uhitaji ya zao la parachichi unazidi kuongezeka siku hadi siku kutokana na kuwepo kwa viwanda vingi vinavyotumia zao hili la parachichi kama moja ya malighafi za kutengenezea bidhaa mbalimbali kama mafuta na bidhaa nyingine nyingi.
Lakini pia zao la parachichi limekuwa hitaji kubwa sana...
WAZO LA UCHAKATAJI WA MAFUTA YA KUPIKIA KWA KUTUMIA TUNDA LA PARACHICHI.
UTANGULIZI.
Kutokana na uhaba wa mafuta ya taa, gesi asilia, petroli na diseli Ulimwenguni kote iliyosababishwa na oparesheni ya kijeshi ya Nchi ya Urusi kuishambulia nchi ya Ukreini mnano tarehe 24.2.2022. Wakati mzozo...
Takribani saa tatu usiku sasa, tunamaliza pika Ugali – Dagaa, tunakula huku maongezi ya hapa na pale yanaendelea na mashujaa wangu hapa, wako mbali kabisa na makazi ya watu, ndio nawajuza mabadiliko ya mkuu wa majeshi, mkuu wa polisi na wakuu wa mikoa, giza ni nene, baridi ni kali, hivyo wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.