Kuna kijana anasoma India katika mji mmoja anasema tunda ghali hapo ni Parachichi linauzwa elfu tano ya Tanzania, sasa Sie tuna ndege inaenda India mara mbili kwa wiki hawa wajasiliamali wa sido wameshindwq kweli kuuza Parachichi India?
Mbunge wa Jimbo la Makete, Mhe Festo Sanga amehoji Bungeni leo kuhusu Soko la Parachichi.
Namnukuu:
"Soko la Parachichi Duniani linasomeka parachichi zinazalishwa Nchi jirani ya Kenya, ili hali Parachichi asilimia zaidi ya 50 zinazotoka Ukanda huu wa Africa Mashariki zinatoka Tanzania...
Jambo lilonishangaza baada ya mzungu mmoja kutoka ufaransa kufakamia maparachichi.
Nikamuuliza mbona unakula sana haya maparachichi ndipo kunifungulia ukweli kuwa ni bei sana kwao .
Kumbe tuna vyakula ambavyo tunachukulia ni vya kawaida ila kwa wenzetu vikawa vya kitajiri sana.
Mkulima Mjasiriamali wa Kilimo cha Parachichi Katika Kijiji Cha Igoda Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa Aidan Kiwale amewataka vijana kutoka mazingira magumu ambao wapo kwenye mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) kuchangamkia fursa ya Kilimo cha Parachichi kwa kuwa kinalipa.
Mkulima mdogo wa...
Waziri wa kilimo ameandika kwenye ukurasa wake wa kijamii.
Kuwa maparachichi yaliyo enda kuuzwa nchini Afrika ya kusini kutokea Tanzania yamekataliwa na kutupwa kutokana na mapungufu ya ubora unao hitajika ikiwemo kuchumwa yakiwa bado machanga au hayaja komaa vizuri.
Je lawama apewe nani kati...
Kumekuwa na mgogoro mkali wa kibiashara hasa ya Parachichi baina ya Tanzania na Afrika ya Kusini uliodumu kwa mwongo mzima(miaka kumi) sasa bila muafaka wowote.
Mtakumbuka February, 2021 kabla ya ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan Jumla ya tani 3.514 za avocados|parachichi toka Tanzania...
Habari zenu wadau
Naamini mpo vizuri
Leo tujifunze pamoja kuhusu zao la parachichi
Kila mkulima ambaye anafanya kazi ya kulima na kuvuna lengo lake kubwa ni kuhakikisha kwamba anapata mavuno mengi katika kile ambacho anafanya ndio maana kila njia zinatumika kuhakikisha mwishoni kuna kuwa na...
WAZIRI MKUU ATEMBELEA SHAMBA NA KIWANDA CHA PARACHICHI RUNGWE
Awahamasisha wananchi waongeze mashamba, parachichi zina faida kubwa.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea shamba la parachichi na kiwanda cha kuchakata mazao ya parachichi na kuwasisitiza wananchi walime zao hilo kwa kuwa...
Lipo Kijiji cha mfriga
Kata ya mfriga
Tarafa ya lupembe
Mkoa wa njombe
Ukubwa ni eka 30
Bei ya kila eka ni tsh 100000
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0784340024
Sent using Jamii Forums mobile app
Utafiti unaonyesha kuwa mbegu ya parachichi inakiwango cha asilimia 65 cha amino acids na pia ina kiwango kikubwa cha fiber ukilinganisha na vyakula vingine.
FAIDA ZA MBEGU YA PARACHICHI
1- Inapambana na tatizo la arthritis, sababu mbegu ya parachichi ni anti-inflammatory ( inatabia ya...
Mbegu ya Parachichi ina muonekano kama Mtoto akiwa ndani ya mji wa mimba
Kama ilivyo kwa mimba, Parachichi huchukua miezi 9 hadi kukomaa kwake
Parachichi husaidia afya ya Mama Mjamzito na ukuaji wa mtoto aliye tumboni
Parachichi husaidia kupunguza uwezekano wa mtu kupata Saratani ya Kizazi
The value of Kenya’s avocado exports jumped 93 per cent to Sh4.26 billion in the first quarter of this year compared to the previous period, data by the Horticulture Directorate shows, buoyed by improved demand in global markets.
Kenya, which is ranked eighth globally in avocado production...
Nataka nifanye kilimo cha parachichi, nimeambiwa zinalimwa Njombe na mkoani Mbeya has a wilaya ya Rungwe, swali langu ni wapi rahisi kupata shamba kati ya sehemu hizo, changamoto za maeneo hayo ni zipi na wapi soko ni zuri kati ya maeneo hayo.
Members wakulima na wazoefu wa hayo mazao,
Naomba kuelewa kama muongozo kwa ufupi mapato ya wastani kwa mwaka kwa kila zao hapo juu.
Naomba tu share uzoefu wetu kwa manufaa yetu sote.
Habari ya majukumu wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Maparachichi ni matunda bustanini na mashambani. Maparachichi yana matumizi mengi yenye faida kubwa kwa wakulima na wadau wengine.
Maparachichi ni chakula chenye viini lishe bora kama vitamini {A, B2, C, D, E, K} na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.