Takribani saa tatu usiku sasa, tunamaliza pika Ugali – Dagaa, tunakula huku maongezi ya hapa na pale yanaendelea na mashujaa wangu hapa, wako mbali kabisa na makazi ya watu, ndio nawajuza mabadiliko ya mkuu wa majeshi, mkuu wa polisi na wakuu wa mikoa, giza ni nene, baridi ni kali, hivyo wote...