Kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limelazimika kutumia parachuti maalum ili kuwafikishia mahitaji muhimu maelfu ya askari wake wanaokaribia kufa kusini ya Gaza.
Maamuzi hayo yamkuja wakati vita vya mitaani vinaonekana kuwamaliza nguvu askari hao na kushindikana kuwafikishia mahitaji hayo kwa njia...
Mpaka leo hakuna rekodi wala kutokea kwa binadamu kutoka kwenye ndege na kuanguka ardhini na kupona.
Historia hii ina muangukia mwadada Vesna Vulović.mpaka kumuingiza kwenye kitabu cha maajabu ya dunia.
Mnamo tarehe 26 Januari 1972, Vesna Vulović alikuwa mhudumu wa ndege kwenye ndege ya JAT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.