parachuti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wakati tunachukuà mazoezi ya kikomandoo kuruka toka kwenye ndege mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka akafa

    Kozi ya paratruping Zimbabwe iligharimu maisha ya mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka na ya emergency ilikuwa na hitilafu alidondoka umbali wa futi kama 500 akafa. Leo ni kumbukumbu. Miaka kadhaa nyuma.
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Parachuti yaenda kombo Nchini Burundi. Kati ya makomando 25, ni mmoja tu aliyefanikiwa kutua ndani ya uwanja

    Ukitizama unaweza kucheka lakini ni jambo la kufikiria sana. Yani Makomando wameshindwa kutua sehemu husika wote wametua nje ya uwanja. Hii inaonyesha ishara gani kwao? ============= Nchini Burundi, maonyesho ya kuruka kwa parachuti yaliharibika baada ya Makomando Maalum kutua kwenye vichaka na...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

    Kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limelazimika kutumia parachuti maalum ili kuwafikishia mahitaji muhimu maelfu ya askari wake wanaokaribia kufa kusini ya Gaza. Maamuzi hayo yamkuja wakati vita vya mitaani vinaonekana kuwamaliza nguvu askari hao na kushindikana kuwafikishia mahitaji hayo kwa njia...
  4. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mwana dada aliyedondoka umbali mrefu toka kwenye ndege bila parachuti na kupona

    Mpaka leo hakuna rekodi wala kutokea kwa binadamu kutoka kwenye ndege na kuanguka ardhini na kupona. Historia hii ina muangukia mwadada Vesna Vulović.mpaka kumuingiza kwenye kitabu cha maajabu ya dunia. Mnamo tarehe 26 Januari 1972, Vesna Vulović alikuwa mhudumu wa ndege kwenye ndege ya JAT...
Back
Top Bottom