Mpaka leo hakuna rekodi wala kutokea kwa binadamu kutoka kwenye ndege na kuanguka ardhini na kupona.
Historia hii ina muangukia mwadada Vesna Vulović.mpaka kumuingiza kwenye kitabu cha maajabu ya dunia.
Mnamo tarehe 26 Januari 1972, Vesna Vulović alikuwa mhudumu wa ndege kwenye ndege ya JAT...