Wakuu pole na kazi.
Kuna baadhi ya members wamekua wakilalamika kwamba, wakicheki deni la parking ya gari kwenye website ya TARURA, wanakuta madeni ya sehemu ambayo hawajawahi ata kupeleka gari. Wengi tulidhani wanatania au ni mara moja au mbili tu.
Leo kuna mfanyakazi mwenzangu anasema...