Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,955
- 2,489
Habari wanajamvi.
Naomba kufahamishwa namna ya kuangalia deni langu la parking fees pamoja na kupata statement ya deni hilo.
Nimejaribu kuingia website ya tarura lakini inaonekana website hiyo si salama