Mbunge wa Jimbo la Kisarawe na Waziri wa zamani, Suleiman Jafo, amewasilisha pendekezo la kiubunifu bungeni lenye lengo la kutatua changamoto ya ajira kwa vijana nchini Tanzania.
Katika mchango wake, Jafo amesisitiza kuwa bado kuna haja ya kuwa na mpango mahususi wa muda mrefu wa kuingiza...