Habarini za pilika ndugu zangu
Matumaini yangu zote tu wazima, Ndugu zangu nina plan na nia ya Dhati sana kufanya hiyo biashara hapo juu kwa mkoa kama Dodoma ni fastest city. ninataaluma nzuri na uzoefu zaidi ya miaka nane kwenye Globe companies kwa sasa nahitaji kuwa na kampuni ili niweke...