It is an absurd and inconceivable by all democracy lovers to see how the office of registrar of political parties meddles and reacts to hooliganism going on in NCCR-MAGEUZI. Instead of mitigating the conflicts in the party, this office has fueled anger and facilitated deep divisions.
Why this...
Nasikia watafunguka mengi. Na hawa ndio wataweka mambo hadharani
👇
1. Job Ndugai huyu atafunguka mengi maana inasadikika namna alivyog'olewa ni sababu alitaka kuleta kauzibe kwa wapiga madili.
2. Luhaga Mpina huyu atafunguka mengi sana huko mbeleni na hali ya hewa itachafuka.
3. Dk . Bashiru...
Ni kawaida kukuta reservation kwenye mabar, ma pub na maeneo mengi mashuhuri. Hawa wanaokutana as if ni jambo la maana Sana hivi mdg zangu wanachangia au Ndio mambo ya kifahari.
Naenda Zang maeneo nakuta Kuna reservation imewekwa🧐💅💅baada ya Muda naona mabox ya keki yakiingia. Ukiuliza ni nn eti...
Huu ndio utabiri wangu kwa wale wabunge waliovuliwa uanachama na Baraza Kuu la CHADEMA.
Hata hivyo, Mama kupitia washauri wake, anaweza kuwapa baadhi yao nafaai za uteuzi serikalini hasa Mdee wakiamini kufanya hivyo ni kuwakomoa CHADEMA wakati ni kuwamaliza kabisa kisiasa wanawake hawa.
Muda...
Salaam Wakuu,
Chama kipya cha Siasa kinachoitwa Umoja Party, inasemekana ni chama kinachofuata, Uongozi wa Hayati Magufuli. Inasemekana Vigogo wengi wa CCM wapo nyuma ya hiki chama.
Wafuasi wengi wa Umoja Party wanadai Rais Samia hafanyi kazi kama Magufuli, na Watu Magufuli aliowaamin kama...
Ccm imechokwa na kila mtu asiyekuwa fisadi, mnufaika wa ufisadi na asiyekuwa mwana ccm. Watanzania wamekuwa wakisubiri Chama cha Ukombozi kutoka madhira ya ccm. Je ni Umoja Part, ama Kingine?
1). Katika Umoja Party, ni muasisi pekee ndie mmiliki wa chama ama ni chama cha watu na kila mtu...
mi ni miongoni mwa waliomsifia Rais Samia Kwa baadhi ya mambo Kama hili la kuleta demokrasi angalau Kwa asilimia 35 , ni vizuri Kabisa kuona hata ndani ya Chama kuna wanaotofautiana mawazo na yajibiwe Kwa heshima si matusi.
Leo nimemuona Mbunge mstaafu wa Iringa mjini akisifia Royal tour ni...
Chama cha Umoja Party kiliomba usajili wa muda tangu April 2021 na kimeona kuna dalili za kukwamishwa licha ya kufuata taratibu zote ikiwemo kujibu mapingamizi juu ya rangi ya bendera na muonekano wa nembo hivyo kimepanga kwenda kumuona Rais Samia ili kupata haki ya usajili katika ofisi ya...
Nilijitahid sana kutoandika siasa lakini Imenibidi.
Tulimhukumu sana Kikwete kuwa na mchezo mchafu wa kukata na kuendesha chama Vibaya kumbe tulikosea.
Mwaka ujao ni wa Uchaguzi tutashuhudia mpasuko Mkubwa wa CCM hata kama watashinda lakin si kwa kishindo, na mpasuko huo ni mkubwa kuliko watu...
Kuna Sifa nyingi zinasemwa kuhusu ujio wa Chama kimpya kiitwacho Umoja Party lakini sifa kubwa inayoongelewa sana ni kuwa Chama hiki kitakuwa na mlengo wa hayati DR. John Pombe Joseph Magufuli.
Wanaoandika Kwenye mitandao wanajinasibu kuwa Chama hiki kitazoa wafuasi wengi na kushinda uchaguzi...
Chama chenye nembo ya hayati JPM kimeanza mchaka mchaka wa kutafuta wanachama wake wapya kabisa, kikijitangaza kusimamia falsafa za hayati JPM.
Chama HIKI kimeanza harakati zake katika kipindi ambacho hayati anakosolewa Sana mitandaoni na wanasiasa mbali mbali akiwemo Zito Kabwe na Raisi wetu...
Muda mrefu hofu ya watanzania ni nani mbadala wa CCM kama CCM ikiondolewa?
Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi niseme kweli nchi yetu bado haijashuhudia chama cha kuiondoa CCM hata kama CCM imechokwa sana bado wanaliona tumaini ndani ya CCM kuliko nje.
Kuna tabia fulani fulani zilizokuwa...
Pokeeni pongezi zangu za dhati kwanza kwa kuwaza na kuamua kutengeneza chama chenye mlengo na falsafa anuia za Hayati na Kipenzi chetu Dr. Magufuli. Hakika mmefanya jambo kubwa nala kutukuka sana.
Pamoja na pongezi zangu nyingi napenda kuwatahadharisha na kuwaasa kuwa makini sana kwa kila hatua...
Mwanzilishi wa Chama cha Umoja Party, Seif Maalim ametoa sababu za kwanini chama hicho kinatumia picha ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika fulana zao.
Maalim amesema chama hakina nia mbaya kutumia picha hiyo kwa kuwa ni moja ya njia ya kujitangaza kwa wananchi.
"Unajua sera zetu...
Kwamba kumbe Hayati Magufuli alikuwa anakubalika na wengi. The majority ya wananchi wanyonge ambao hata mumchafue vipi kwao yeye hachafuki maana wanajua kazi aliyoifanya kwa taifa lake.
Umoja Party tayari imeshazichanga karata na inakwenda kuzoa lundo la wafuasi wapinga ufisadi na ubadhilifu...
Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.