PASAKA ni kuyaishi maisha mapya ndani ya kristo yaani utakatifu, wokovu, utuwema, fadhili upendo na matendo mema.
Maisha ya Yesu hapa duniani yalikuwa yakutenda mema.
Hivyo Basi Tuuishi Ukristo kuwasaidia wengine (mpende jirani yako) Yatima, wajane na wasiojiweza kwa namna moja ama nyingine.