Pasaka Cinema (Lithuanian: Pasakos kino teatras) is a former Art Deco style movie theater in Kaunas, Lithuania. At that time of the opening, the cinema was amongst the most modern in Kaunas.
Na nimeona katika tangazo lao kubwa kuwa mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 Aprili, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) ndiyo tutakuwa tunasheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka (Kufufuka kwa...
Mamilioni ya waumini wa dini ya Kikristo duniani leo Aprili 17, 2022 wanasherehekea Sikukuu ya Pasaka kukumbuka kufufuka kwa Yesu Kristo baada ya kusulubiwa msalabani zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, ameutumia ujumbe wake wakati wa misa ya mkesha...
Jibu la Biblia
Pasaka ni sherehe ya Kiyahudi iliyowakumbusha jinsi Mungu alivyowakomboa Waisraeli kutoka katika utumwa wa Misri mwaka wa 1513 K.W.K. Mungu aliwaagiza Waisraeli wakumbuke tukio hilo muhimu kila mwaka katika siku ya 14 ya mwezi wa Kiyahudi, Abibu, ambao baadaye uliitwa...
Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.
Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema...
Takriban watu 35 wamefariki dunia na wengine 71 kujeruhiwa baada ya Basi lililokuwa limewababa kuelekea kwenye mkusanyiko wa Pasaka kutoka nje ya barabara na kutumbukia kwenye korongo
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, kuna viashiria kuwa basi hilo lilijaa kupita kiasi. Kwa kawaida, Mabasi Nchini...
Yaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo.
Simba isipofuzu Kateni rufaa.
Wanajamvi:
Kwa wale Wakristu, wanafahamu matukio muhimu yaliyojiri baada ya Yesu Kristu Kufa Msalabani. Kwanza, Dunia ilitetemeka kuonyesha kuwa yule aliyekuwa msalabani ni Mungu anayetawala maumbile. Pili, Pazia la Hekalu la wayahudi kupasuka vipande Viwili kutoka juu mpaka chini. Wafu...
Watu 177 ndani ya jiji la Nairobi wamekamatwa kwa kukiuka hatua za afya za kujikinga dhidi ya #COVID19 siku ya sikukuu ya Pasaka.
Polisi wamesema wengi wao walikuwa katika maeneo ya kunywa pombe ‘Pubs’ wakiwa wamerundikana na hawana barakoa.
Wote waliokamatwa wameachiwa kwa dhamana na...
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Hatimaye Masiah amefufuka kutoka katika Wafu , Ufufuko wake unaifanya dunia yote kusherehekea kwa furaha na shangwe kuu !
Basi kwa vile siku ya Pasaka ni sikukuu basi natumia ukurasa huu kuwatakia heri ya sikukuu VIONGOZI , WANACHAMA na WAPENZI WOTE wa...
Habarini wanajamvi wenzangu, poleni na majukumu mbalimbali ya kujenga taifa.
Hakika tuendelee kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo yetu na taifa letu, Mungu hatatuacha atazibariki kazi za mikono yetu. Leo baada ya majukumu nimepita kwenye mitandao ya kijamii na kukuta salamu hizi nikaone ni...
Jeshi la Polisi leo April 2, 2021 wametoa ufafanuzi juu ya kauli waliyoitoa kuhusu shamra shamra za kusheherekea sikukuu za Pasaka.
‘Taarifa ya Jeshi la Polisi niliyoitoa jana (pamoja na mambo mengine) ilisema tuna imani kama kila Mwananchi atafuata Sheria na kujiepusha na vishawishi vya...
Habari za muda huu jamiiforums
Leo muda kama wa saa 9 alasiri nikiwa ninapitia mambo kadhaa kule Facebook nimekutana na kauli ya Jeshi la Polisi juu ya sherehe za pasaka kwa mwaka huu wa 2021 ambazo zimeangukia katika kipindi ambacho nchi yetu ipo katika maombolezo mazito kufuatia msiba wa...
Wakuu hebu tujadili hili.
Serikali imetoa wito kutoskia shamrashamra za sikukuu ya Pasaka mwaka huu tofauti na miaka mingine kisa bado tupo kwenye maombolezo.
Je, Swali kwa Serikali inamaana hawakuona zile kelele na shamrashamra Bungeni baada ya jina la Philipo Isdor Mpango kupendekezwa na...
Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
====
Ndugu wanahabari, kama mnavyojua bado taifa letu lipo katika siku 21...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma.
Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Shule za msingi na sekondari zimefungwa. Lakini kwa sasa, baadhi ya mashule, yanalazimisha wanafunzi, hasa walio kwenye madarasa ya mitihani, warudi shule "kwa masomo ya ziada".
Wanapuuza, amri/maelekezo/ushauri toka mamlaka husika kwamba wanafunzi wawe likizo kuanzia tarehe fulani hadi fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.