Nyaraka za pasaka toka makanisa tofauti zitajaa masimango, vijembe na ukosoaji wa serikali ya rais Samia. Hii inatarajiwa kutokea kufuataia makosa ya kubambikiwa aliyopewa Lisu na kupelekea kukamatwa kwake.
Kukamatwa kwa Lisu kutaifanya serikali ya Samia kuchukiwa zaidi na wananchi na hatimaye kufuta "utangamano kupitia 4R" aliyokuwa akiuhubiri Samia.
Watu sasa wanasema "Kiko wap!? Alipoingia alijinasibu kuendesha nchi kwa maelewanonna utangamano kupitia 4R, mbona anakamata wanasiasa kama Magufuli?
Samia amejipalia mkaa wa moto kwa kumkamata Lisu, na atajuta kufanya hivyo.