Shule za msingi na sekondari zimefungwa. Lakini kwa sasa, baadhi ya mashule, yanalazimisha wanafunzi, hasa walio kwenye madarasa ya mitihani, warudi shule "kwa masomo ya ziada".
Wanapuuza, amri/maelekezo/ushauri toka mamlaka husika kwamba wanafunzi wawe likizo kuanzia tarehe fulani hadi fulani...