"Chama cha Mapinduzi ni adui wa kila mtu. Mwalimu Nyerere alikuwa anapambana na maadui wangapi? Watatu, sindio? Ujinga, maradhi, na nani? Na umaskini.
Leo Chama cha Mapinduzi ni adui namba nne. Chama cha Mapinduzi. Ni adui wa wakulima, ni adui wa wafanyabiashara, ni adui wa maaskari ambao pia...